Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wapendwa kweli naona kunaitajika kuwa na wakina pengo zaidi ya alfu moja tunapokwenda....huyu bwana ni kaka yangu jamaa yangu na zaidi ya yote amenisaidia katika baadhi ya mambo yangu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya uchuguzi wa 2000. Ali Salehe mtangazaji wa Bbc Zanzibar alikuwa ni mmoja ya watangazaji waliokuwa wakifichua mengi zenj kwa ujasiri mkubwa mpaka kuitwa jina Superman . lakn tangua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
eti wanajamii hivi elimu ya kibogo inasaidizi mtanzania? i mean to make competent to world competition.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAFANYABIASHARA watano wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kuiibia Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) mamilioni ya fedha akiwemo mfanyabiashara Maarufu Nassor Said Nassir (Bopar)...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mtoto amua mwenzake kwa bundukiNa Hussein Semdoe, Handeni MTOTO Hashiruna Hassan (5) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Awali ya Suwa iliyopo katika Kijiji cha Suwa Kata ya Mazingara wilayani...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Tuesday, July 14, 2009 6:38 AM Mwandishi maarufu...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Ndugu wana JF tumekuwa tukilaumu saana serikali yetu kwa mambo mbalimbali nakujiaminisha kabisa kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukitoa Chama Tawala Madarakani. Nimekuwa nikijiuliza na hatimaye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna wimbi kubwa la wizi katika kampuni za mjini Vodacom,Barclays, Stanbic,Tigo etc ambazo nyingi zimeajiri vijana waliosoma walau first degree. Swali kwanini wizi huu umeibuka nyakati hizi kijana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
What drives one person into the arms of another? According to recent scientific research the answer may lie partly with chemicals. Scientists have long been aware that the human body produces...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utata watawala mauaji ya mfanyabiashara na kauli za polisiNa Mwandishi Wetu WAFANYABIASHARA wa Moshi wanaoishi jijini Mwanza, wamehoji ukweli wa kauli ya Polisi kuwa inawasaka wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wimbo wa kutengeza ajira hasa kwa vijana umekuwa wa muda mrefu sana sasa.Hata hivyo hatujasikia mafanikio yoyote yaliyo patikana ya kutia moyo.Tamko la sasa kwamba serikali imepatia wanachi wake...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
HICHI NI KIZAZI CHA UDSM Sasa imetimia zaidi ya 12 toka kuanzishwa vyama vingi nchini Tanzania , kuanzishwa kwa vyama hivi ilionekana kama vile ndio mwokozi Fulani hivi kwa wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari toka dodoma zinasema treni mbili za mizigo zimegongana uso kwa uso asubuhi hii karibu na stesheni ya zuzu nje kidogo nan mji wa dodoma katika reli ya kati. Kwa mujibu wa mganga mkuu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku hizi kusikia kwamba mwanachi asiye na hatia ameuwawa na Polisi si jambo la ajabu tena.Polisi nao sasa wanajichukulia sheria mikononi mwao.Matukio ya namna hii yameripotiwa na vyombo vya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Benard Tabaire African countries are different in many respects as are the countries of other continents. In his Accra speech last week, however, U.S. President Barack Obama addressed the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania National Assembly. Members of Parliament have asked the government to be extra careful when discussing the issue of land in the East African Community (EAC). The legislators sounded...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Siku zote ninaamini katika ukweli kwa kuwa daima humweka mtu huru hata kama unauma Wakati Bw.Charles Keenja anaomba kura za wanaubungo wa kibangu na makoka aliweka bayana kuwa yeye na CCM...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rose akikagua vyitu vyake vilivyotupwa nje na mwenye nyumba wake Kijana huyu anakagua kama CD zote vipo. Sipati picha kama ingekuwa Kinondoni ingekuwaje, hata sisi tusingeweza kupiga picha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Polisi wa ukonga hapa Dar, jana wamemchukua raia nyumbani kwake jioni, na kwenda naye kituoni kwa mahojiano, ndugu zake walipoenda kesho yake wakaambiwa kuwa ndugu yao, amepata homa hivyo kalazwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pagan police to get witchcraft holidays Thursday, July 16, 2009 Chants: Andy Pardy Police officers who indulge in witchcraft have been given the right to take Hallowe'en and the summer...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Back
Top Bottom