Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu hebu nisaadieni kwa hichi kisa kilichompata rafiki yangu alipokwenda ubalozi wa marekani. Leo 15/07/09 kati ya saa 9:30AM-11AM asubuhi niliegesha gari langu nje ya ubalozi wa marekani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Jabir Idrissa WAZIRI Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, ametoa kali. Anasema haoni faida yoyote katika utaratibu wa maswali ya papo kwa papo ndani ya Baraza la Wawakilishi (BLW). Kama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hIVI KARIBUNI LIMEZUKA (kuanzishwa) GAZETI MOJA LIITWALO NIPE HABARI AMBALO LINATOAK DAR LAKN HABARI ZAKE NYINGI ZIMEELEMEA ZENJ. JEEE NDIO GAZETI LA KUELEKEA UCHAGUZI 2010 ZENJ?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, ametoa siri ya ujasiri alionao katika kukabiliana na vita dhidi ya ufisadi awapo kwenye kiti chake bungeni. Sitta, alitoa kauli hiyo hivi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
INASEMEKANA NCHI NYINGI ZILIONDELEA KAMA jAPAN, DENMARK SEREKELI NA RAIA HUTUMIA GARI ZA BEI YA CHINI TOFAUTI NA TZ UTAONA MASHINGI, BMW , LAND CRUSER. KWNINI
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamepinga kauli ya Waziri wa Miundombinu, Dk. Shukuru Kawambwa, kwamba kampuni hiyo inaendesha shughuli zake vizuri. Wamesema kauli hiyo ya Dk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utata wa mkataba wa Kampuni ya Karamagi wafikia kikomo Na Ramadhan Semtawa HATIMAYE serikali imemaliza utata wa mkataba wa Kampuni ya Tanzania International Container Service (Ticts), baada ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Watch Full Episode Videos Now - Expedition Africa - History.com Hii episode ipo History C. Jamaa wanatembea toka Zanzibar mpaka Ujiji. Enjoy.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mIMI NI MSOMJAI MZURI WA GAZETI LA MWANAHALSI. LKN SIKU HIZI NIPO NJE YA TZ, SIAPTI KUSOMA MWANAHALIS. NAOMBA MWENYE SOFTCOPY YAHABRAI ZA 15/7/2009 ANITUMIE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi jana nilipanda ndege kuelekea ugahibuni, nilikutana na wahuduumu wtuu wa kike . jee kwanini iwe hivi. jee
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nasikitishwa sana na uchakavu wa magari yanayosambaza saruji ya twiga jijini. magari mengi katika hayo yamekuwa yakishindwa kupanda kimlima cha njiapanda ya kawe kutokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Published: 15 Jul 09 16:47 CET A cunning internet con artist posing as a love-struck woman from Ghana has succeeded in defrauding a number of Swedish men of hundreds of thousands of kronor...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
BREAKING NEWS - Ndege Yaanguka Iran na Kuua 150 Wednesday, July 15, 2009 12:40 PM Ndege ya shirika la ndege la Iran, Caspian Airlines imedondoka ikiwa safarini kuelekea nchini Armenia na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika Toleo la Jumatano Julai 8-14 2009 katika Ukarasa wambele uliandikwa UDINI WATEKA BUNGE katika gazeti la MwanaHalisi. Ndani ya habari hiyo ilisema" Tayari kunataarifa ya baadhi ya wabunge...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nifanyeje nikitaka na mimi niwe premium member? Maana nataka niingie kwenye majukwaa mbalimbali lakini tatizo ni status yangu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi Chinese boy sometimes nafurahia kuishi kwa hawa jamaa lakini sometimes ni noma.Yaani Hi5 ni zaidi ya mwaka hatuwezi ipata hapa,youtube karibu mwaka...Ilipo banwa Hi5,watu wote wakajikita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umetenda jambo jema kama mkuu wa nchi kwa kutungozea majaji; nathubutu kusema hadharani kuwa ni uteuzi makini kwa waliostahiki. Nimefurahishwa na ujasiri wako wa kutambua kada hii ya mahakama...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Taarifa za hivi punde kutoka Bukoba ni kuwa polisi wawili waliokuwa na tabia ya kuzizia wananchi na kuwatoa rushwa wamevamiwa na wananchi kisha kupigwa mithiri ya vibaka kabla ya kuokolewa na...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
A form of Ebola virus has been detected in pigs for the first time, raising concerns it could mutate and threaten humans, scientists report. Reston ebolavirus (Rebov) has only been seen in...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kampuni ya ndege ya tanzania (ATCL)liko katika mchaakato wa kubadili jina na kuitwa AIRTANZANIA EXPRESS...akiongea na mtoa chanzo amesema wameambiwa tangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom