Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mtoto Elise Tan Roberts Saturday, May 02, 2009 1:52 AM Mtoto wa miaka miwili ambaye alianza kuzungumza alipokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Mara kadhaa nimesoma katika magazeti Majina na maana yake. Huwa inafuirahisha sana unapogundua jina la mtu na maana yake. Napendekeza tutumie thread hii KUULIZIA na KUJULISHA majina na maana zake...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
wengi Tunaufatilia Mjadala wa mahakama ya kadhi kupitia magazeti yetu na redio zetu. Tz Daima, Mwanahalisi, Mwananchi,Majira,Habarileo, Raiamwema na redio kama vile tbc1 na nyengine nyingi. Lakini...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Ni upungufu lakini labda mapungufu hayo ndo yanachangia maendeleo waliyonayo. hapa naongelea uelewa wa mambo ya kawaida, mambo ya kimataifa na kitafifa. elimu zetu tanzania ni ukweli kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mapango ya Wookey Hole Thursday, July 09, 2009 4:18 AM Baada ya mchawi aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha kitalii cha Somerset nchini Uingereza kustaafu, mchawi mpya anatafutwa kuziba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mashimo hayo yaliyofunikwa kwa mujibu wa Polisi ni miongoni mwa sehemu ambazo wafanyakazi wa makaburi hayo waliokamatwa walikuwa wakizitupa maiti kutoka kwenye makaburi waliyoyafukua Friday...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Misaada lazimishi Kipindi cha nyuma miaka ya sitini na sabini mababu zetu na baba zetu shuleni walikuwa wakila sana vyakula vya misaada kutoka Marekani. Vyakula hivyo vilikuwa vyaja kama misaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tamaduni zetu za kiafrika watoto walikuwa wakizaliwa wanakuwa na majina ya kurithi toka kwa babu zao au bibi zao na hili linakuwa wakati mtoto akiwa mdogo sana kwa wa kristo kabla hajabatizwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahanini wakuu, ndio ninatoka kupata mlo wa mchana na naomba kuuliza kuhusu hili jambo nililokutana nalo japo ni la kawaida, Nimefika kwa muuza chips nikaagiza chips mayai (bila kuspecify...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamii,ni nini chanzo hasa cha mtu kuota yupo na Marehemu wa karibu naye mfano baba,mama mjomba na wengine ambao walimtoka kama miaka zaidi ya kumi iliyopita. Na katika ndoto hizo mtu anakua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watanzania na wanadamu kwa ujumla tuko vitani, lakini sidhani kama tuna hata chembe ya ufahamu kwamba tuko vitani.Tumezingirwa kabisa na ushindi wa vita hivi kwa sasa unaonekana ni mfinyu sana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taadhalini waungwana, Leo nimepata barua toka kwa hawa jamaa, wanao jifanya kuwa wao ni wawakilishi wa UN. _____________________________________________ From: "UNITED NATIONS ORGANIZATION"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Heshima mbele. Wajameni suala la sauti ya TV yetu ya taifa TBC1 linakera. Kimsingi wale ambao ni wapenzi wa kuangalia television hiyo, mtakubaliana na mimi kuwa sauti inashuka halafu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzanite yaendelea kuhujumiwa,wawekezaji wauza madini ghafi nje Na Mwandishi Wetu AGIZO la serikali la kupiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa tanzanite ghafi lililotolewa miaka minne...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Unajua kuna njia kuu 4 za barabara Tanzania za kuingia na kutoka lakini ni njia moja tu ndio inamizani nayo ni morogoro je kwenye njia nyingine hakuna MIZANI kwanini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
PARIS (Reuters Life!) – French tourists are the worst in the world, coming across as bad at foreign languages, tight-fisted and arrogant, according to a survey of 4,500 hotel owners across the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Thank you all for putting up with my possibly pompously wordy, audaciously opinionated, sometimes cocky or even borderline sentetious vogon poetry laced with various mind boggling non-Euclidean...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kila mmoja wetu amelelewa kwenye mazingira tofauti na tamaduni tofauti , baadhi yetu tumeridhika na aina ya malezi tuliyopewa na kuahidi kwenye mioyo yetu kwamba na watoto wetu tutawalea kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumesikia kwamba Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Bi Sakina Dotoo na Mwenyekiti wa MOAT Reginal Mengi uhusiano wa kikazi umedorora baada ya Bi sakina Kuikimbia IPP. kunatetesi kwamba Vyombo hivyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari za siku ndugu zangu napenda kushea pamoja nanyi japo kwa ufupi juu ya mazungumzo niliyofanya mimi na baba yangu alipokuja kunitembela huku nilipo pamoja na kuhudhuria sherehe za ubazo wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom