Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jumatano iliyopita tarehe 3 June nilinunua kama kawaida yangu gazeti la Mwanahalisi nilichokutana nacho kwenye page ya Katuni sikuamini macho yangu manake nilihisi labda ze utamu wameanzisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nadhani hii kwa wenzangu waliomaliza/wanaomaliza vyuo/elimu katika uchumi huu ingetufaa kidogo YouTube - Obama at ASU: Commencement Speech with intro by Michael Crow
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Wasalaam, Kidogo ningependa kupata msaada katika hili. Kumekuwa na tetesi na hata mara nyingine ushahidi wa waziwazi au wa kimazingira juu ya kuwepo uhusiano wa kimapenzi kati ya waandishi wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tahadhari! Unapokwenda kwenye hii site ya akina UWAZI kuwa mwangalifu kidogo na haklikisha computer yako ina ulinzi wa kutosha. Hasa kwenye ile section ya 'HABARI katika picha'
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya Watanzania sijaona wakiitangaza Tanzania kitalii au kuonesha rasilimali zetu tulizo nadho, zaidi ya kuzungumzia siasa zaidi na mambo mengine.kwa wenzetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
g
0 Reactions
7 Replies
2K Views
2009-06-08 07:36:00 Irate mob sets fire to MP's property By Mussa Juma, Arusha THE CITIZEN Riotous villagers invaded an estate owned by Vunjo Member of Parliament Aloyce Kimaro in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Raza: Kama fisadi ni fisadi, huo si ubaguzi wa rangi Mwandishi Wetu Juni 3, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo ALIYEWAHI kuwa mshauri wa masuala ya michezo wa Rais wa Zanzibar Dk...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Were these guys at Cisco showcasing a video conferencing product to our president and his delegation?[have a look below]. I guess they were saying "this is how you could have stayed at Magogoni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilikuwa naelekea Arusha kutoka Moshi nikapita mji mdogo wa Boma Ng'ombe ambao ni "highway town" nikashangazwa kupishana na bajaji kibao zilizobeba abiria zinakatiza barabara, jambo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wafanyakazi TTCL waisusia management. Imeandikwa na Veronica Mheta; Tarehe: 7th June 2009 @ 08:16 Imesomwa na watu: 114; Jumla ya maoni: 0 Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mtandao wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wazalendo; Asalaam Aleykhum. Napenda kutoa tahadahri kwa watumiaje wa barabara ya Mandela wakati wa Usiku. Siku ya Ijumaa iliyopita nilikuwa naendesha gari along Mandela Road nikiwa natokea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dada yangu amepoteza zaidi ya laki nane kupitia DECI ila haijaniuma kufikia ya huyu bibi maskini......_mamadeci.jpg (image)Eti kauza ndizi zake jamani visenti akawapa hawa mafisadi sasa ona kabaki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali yajitosa mgodi wa Mkapa Na Mwandishi wetu 6th June 2009 Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja. Rais mstaafu, Benjamin Mkapa. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba muangalie hii link hapa muone wahindi waliyo komaa kwa rushwa hata ndani ya India yenyewe, je kwetu TZ si wanatumaliza? Soma hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Makangaga na maeneo ya Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, juzi walipigwa na butwaa baada ya joka kubwa kutumbukia kaburini wakati mwili wa Mwanawetu Makokola ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tukiangalia kwa karibu sana tutagunduwa ya kuwa Rais ajae wa upende wa Zanzibar kwa kiti cha CCM atatokea pemba,imani yangu Rais Jk na Bunge litakuwa na msimamo mazubu wakati wakumpitisha kiongozi...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
TEMBO kutoka Hifadhi ya Taifa ya Tsavo ya nchini Kenya wamevamia makazi ya wakazi wa Kata ya Mengwe na kusababisha nyumba kadhaa kubomolewa na Tembo hao Inasemekana Tembo zaidi ya 30 walivamia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bongo kuna vituko, hebu soma kilichombuka huyu mwenzetu! Hi Team! Hope you all fine. Jamani napenda kuwapa tahadhari wenzangu kutokana na kilichonipata Jana (sunday 31 May 2009). Ilikuwa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Wadau Salaam! Nimeona picha ya Rais JK katika ukurasa wa mbele katika gazeti la Sauti ya watu Tanzania la leo tarehe 5 June 2009 akivunja chupa ya mvinyo kuashiria kuzindua kivuko kipya cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom