Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeetu Patel akiri kumiliki kampuni iliyochota fedha za EPANa Nora Damian WAFANYABIASHA Jayant Kumar maarufu kama Jeetu Patel na Devendra Patel ,wamekiri mahakamani kuwa Kampuni ya Bencon...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nimeikuta hii kwenye mjadala mmoja huko kwenye net nikaona niiweke hapa mbele yenu huyu mtu anasema ni mkenya na alikuwa anachangia mada ya ukosefu wa umakini kwa wanasheria[hasa ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
REKEBISHO. KIONGOZI MNYONYAJI MKUU AU MNYONYWAJI MKUU WA HAKI NI YUPI KATI YA HAWA KWA MLOLONGO (1)katibu kata (2)raisi (3)waziri mkuu (4)diwani (5)makamu wa raisi (6)mwananchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, Nina shida nahitaji kupata msaada wa Jinsi ya Kulitatua. Kuna Mtu Nilimkopesha pesa mwaka 2004 December na akaahidi kunilipa January 2005. Lakini Mpaka leo hajamaliza kunilipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau,nilikua mpenzi mkubwa wa kipindi cha jenerali on monday,lakini juzi nimeshtuka kuona kimebadilishwa jina si jenerali on monday tena ila ni Channel ten on Monday.jamaa aliekua anakiendesha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KATIKA hali ya kushangaza imetokea juzi katika maeneo ya Boko baada ya babu mmoja kutuhumiwa kuwa amebaka mama mjamzito kuachiwa huru na polisi na mama huyo kubaki kushikiliwa na polisi. Tukio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ni sahihi kusema marehemu mwalimu nyerere au hayati mwalimu nyerere. Katika hotuba yake ya mbio za mwenge mwanza leo, dr shein anamtaja baba wa taifa kama marehemu mwalimu nyerere, mimi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kwanini huwa hatuwakemei au zomea mawakili wa mafisadi?Huwa tunawaona Kisutu, jinsi gani wakiwatetea watuhumiwa, kwa mbwembwe nyingi huku wameshika mafaili na maji ya dasani, kwanini hasa vita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
REKEBISHO LA SILABI (KATI YA HAWA NI YUPI KIONGOZI BORA, HALISI NA MJENGA NCHI) (1)katibu kata (2)raisi (3)waziri mkuu (4)diwani (5)makamu wa raisi (6)mwananchi (7)mbunge (8)balozi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgonjwa mmoja mahututi alikuwa hawezi kuongea na kuwekewa oxgen. Akawa anaombewa na Mchungaji. Akiwa anaombewa, yule mgonjwa akachukua kalamu na karatasi, Akaandika na akampa yule...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasikia sasa kumezinduliwa ZAMCHAPO badala ya kufungiwa ile iliyokuwa inadhalilisha ndugu na jamaa zetu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Skinned Cat, Raw Meat Found Behind Restaurant - 11Alive.com | WXIA | Atlanta, GA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi wakamata magari 96 ya wizi Na Romana Mallya 28th May 2009 Mengi ni aina ya Toyota Land Cruiser na Rav4 44 yameibwa Japan, chassis namba zimefutwa Magari. JeshiI la Polisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto Azinduka Kutoka Mahututi na Kuanza Kuimba 'Mamma Mia' Mtoto Layla Townsey Wednesday, May 27, 2009 1:42 AM Mtoto wa miaka mitatu nchini Uingereza ambaye alikuwa mahututi katika kitengo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika gazeti la Raia Mwema toleo la Mei 13 - Mei 19, 2009, Mwandishi Johnson Mbwambo aliandika Makala yenye kichwa cha habari "Ya Profesa Watson na Urais wa kina Zuma". Katika makala yake hii...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Zawadi ya Upasuaji wa Kurekebisha Matiti BURE kwa Manesi Wapya Wednesday, May 27, 2009 4:56 AM Hospitali moja binafsi jijini Prague baada ya kukimbiwa na manesi wake, imeamua kutoa zawadi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, Waswahili wanasema kazi ya Mungu haina makosa.. Hilo silibishii na wala sina pingamizi nalo... Nyaulawa aliyekuwa mkurugenzi wa Business Times na pia mbunge wa Mbarali, alikuwa ni mtu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani, Hiki kipindi sidhani kama mmebahatika kukiona. Sina hakika kama ni series au ni one time show. Siku ya Jumatano nilichelewa sana kulala, imefika mida ya saa sita na nusu usiku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwalimu awapa mimba wanafunzi wakeAdvertisement Wednesday, May 27, 2009 12:00 PM MWALIMU wa Shule ya Msingi ya Qwam iliyopo Kata ya Kiru Wilayani Babati Mkoani Manyara ametuhumiwa kuwabaka na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
More than three men alleged to be thugs, have been nabbed by the Police today at Ubungo Plaza Complex in Dar es Salaam for purporting to have gold weighing at 600 gms. The minerals were sold at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom