Tujikumbushe simulizi hii: Waafrika wawili walikuwa kwenye Window Shoping ndani ya mitaa ya NY, USA! Katika pitapita yao, wakaingia kwenye duka moja lililokua linauza bidhaa ya ajabu mno-ubongo...
Date::5/26/2009
Vigogo walionunua magari ya wizi kujulikana leo
Na Sadick Mtulya
Mwananchi
WIZARA ya Mambo ya Ndani leo inatarajia kutangaza majina ya vigogo walionunua magari ya wizi...
ISNA - Tehran
Service: Foreign Policy
TEHRAN (ISNA)-Iran is to help Tanzania and Zanzibar to develop their agriculture sections.
Irans First Vice President Parviz Davoudi who returned...
Wana JF, natafuta hotuba ya Mheshimiwa Magufuli inayohusisha takwimu za ullaji nyama na kunywa maziwa hapa Tanzania. Nakumbuka ilihusisha na idadi ya mifugo Tanzania wakiwemo ng'ombe na kuku...
Kortini kwa madai ya kuiba Biblia za Kanisa la MalanasaNa Colletha Mwangamila
MKAZI wa Buguruni mwenye asili ya kiasia Hanif Fazal (40), jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Buguruni kwa...
Tuesday May 26, 2009
TICTS workers strike threat
DARIUS MUKIZA, 26th May 2009 @ 00:35,
Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) workers are expected to start a full...
Nation `hijacked` by corruption
-Local civil society coalition makes its voice heard
ALVAR MWAKYUSA
THIS DAY
Dar es Salaam
MEMBERS of various local civil society organisations...
Na Andrew Mushi
KWa muda sasa tangu nimekuwa nikiandika makala na mada nyingine katika vyombo vya habari , nimekuwa nikipokea maoni mengi sana kwa njia ya barua pepe, simu, ujumbe mfupi wa simu...
Mwanafunzi mjamzito amtaja Paroko
Katika hali inayoonekana kuwashitua wengi, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari ya Farkwa amemtaja Paroko wa Parokia ya Farkwa, Padri...
Jamani hawa DAWASA vipi , sisi wakazi wa Kigamboni wakati tunangoja wawekazaji tupatane nao wao kwa haraka haraka wanawahi kununua nusu ya Kigamboni kwa bei karibu na bure. DAWASA wanahitaji eneo...
NA JABIR IDRISSA
Rais Amani Abeid Karume alipounda tume mpya ya kusimamia uchaguzi mkuu wa 2010, alimtaja Mwinchande mwenyekiti. Makada wenzake katika Tume hiyo ni pamoja na Said Bakari Jecha...
Mwili wafukuliwa kutokana na kuzikwa kimakosaAdvertisement
Monday, May 25, 2009 10:14 AM
MWILI wa Jacob Sembeta [74] uliozikwa Wilayani Hai Kilimanjaro umefukuliwa baada ya kugunduliwa ulizikwa...
Ufisadi a.k.a Wizi na Ufujaji wa mali za Umma limekuwa halileti maana iliyokusudiwa kwa Mwananchi wa kawaida hasa kule vijijini. Wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakijaribu kulipigia kelele lakini...
Ile thread iliyozungumzia michango ya harusi sijui (ya bwana harusi kuomba apewe kodi ya miezi sita) sijui imepotelea wapi!! Hat hivyo, thread hii imenikumbusha jambo linalofanana na hilo...
Natanguliza shukrani kwa bro Michuzi DC wa naniii pale kwa huduma yake nzuri anayoitoa kwa jamii kuwasilisha "niuzi" kwetu sote.
Swali langu linakuja hapa, Ni kwamba kuna tangazo pale juu...
Nilichokuwa nakiamini mimi ni kwamba UTANDAWAZI,na exposure tuseme INGETUOKOA!lakini hamna kitu.
Nilichokuwa nakiamini pia ni kwamba jambo moja linapolalamikiwa sana LABDA WALALAMIKIWA...
Baadhi ya makondakta wa daladala wanatoa tiketi ambazo haziendani na namba za magari yenyewe. Zamani nilipokuwa nikipewa tiketi, nilikuwa naitunza na baadaye kuitupa bila kusoma imeandikwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.