Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
huyu jamaa ni mkazi mwa Mbezi Beach eneo la Makonde Juu /Kipongoso anajulikana kwa jina la ALLuh na Exuper Kachenje WAKAZI wa maeneo ya Mwananyamala wilayani Kinondoni jana walimiminika katika...
0 Reactions
50 Replies
15K Views
Kuna taarifa kwamba Interpol wapo jijini dar kukagua Vogue, range sport, Benz ML, BMw-X5 na magari mengine mengi ya wizi toka Magharibi. Inasemekana Magari hayo yamepungua sana mjini na dereva tax...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
What's Going On? Currently Active Users: 2219 (381 members and 1838 guests) Most users ever online was 2,881, 25th November 2008 at 05:38 PM. Nimeangalia idadi ya watu walio online hapa JF sasa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
vipi mamb je nawezaje ku download hutuba za rais kikwete?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, tusijisahaulishe!! Ikumbukwe kwamba Ufisadi kama ambavyo leo hii tunauita, ni hujuma iliyokomaa!! Duniani kote, mafisadi wakubwa (grand corrupts) ndio hao hao wanaojihusisha na biashara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya mahoteli makubwa na yenye hadhi unayoijua wewe, si chochote wandugu wapendwa, ni rangi na mandhari ya nje tu ndio inayotupa uthubutu na kiburi cha kuingia na kuagiza chakula. Kiuhalisia, ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
From Times Online May 21, 2009 Bank blunder makes couple accidental millionnaires Anne Barrowclough in Sydney A New Zealand couple whose bank mistakenly paid...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona hii picha nikajiuliza maswali mengi sana mojawapo likiwa, je hii nayo ni shule? Hii ndio hali halisi ya majengo ya shule ktk baadhi ya maeneno ya vijijini ndani ya Tanzania. Je kweli...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama dakika 5 hivi zilizopita imetokea ajali iliyohusisha gari la kusambaza bia la TBL maeneo ya mnazi mmoja Dsm. Ajali hiyo imetokea katika makutano ya barabara ya bibi titi na uhuru ambapo gari...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
An al-Qaeda suspect is to become the first Guantanamo inmate to stand trial in a US civilian court, reports say. Ahmed Ghailani will be sent to New York to face charges over the 1998 US embassy...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Mahakama yasimamisha uuzaji samaki wa Magufuli Na Mwandishi wetu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Pombe Magufuli. Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, jijini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wnanajamii, Salamu! Napenda tujadili jambo ambalo kwa muda mrefu nimelitafakari. Kuna kipindi fulani, na hata sasa vijana wengi wa viwango tofauti tofauti vya elimu walikuwa na homa kubwa sana ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
DCP tycoons snubbed Bunge probe committee -Said ’No’ to summons in identical letters sent to the Clerk of the National Assembly -Committee also noted how some government officials ’embraced...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi lengo kuu la ndugu zetu wa kabila la wamasai kungoa jino la chini hapo zamani ilikua ni nini? Maswala ya mila na desturi,afya au urembo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muda wa saa nane na nusu mchana nimeletewa taarifa na rafiki yangu kwamba kasikia kutoka radio kwamba: Habari mpya mpya (Breaking News): Kiwanda cha Nondo cha Mikocheni kinawaka moto. Nimesituka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Whether online or through physically attending his classes, you might have seen Hans Rosling presenting stunning stats, educating some of us via TED conferences. Why you should listen to him...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Video - Breaking News Videos from CNN.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TODAY'S SCRIPTURE "Even when there was no reason for hope, Abraham kept hoping-believing that he would become the father of many nations…" (Romans 4:18, NLT). TODAY'S WORD Are you...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Nimefungua inbox yangu na nikakuta hii email. Baada ya hapo ilipelekwa moja kwa moja kwenye spam bin. Kama ukipata kama hii, tafadhali fanya hivyo hivyo: Hello dear new friend. Glad that I'm just...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tumeusema sana Utawala wa Kikwete. Hauna dalili yoyote ya kubadilika. Sasa ni time for action. Hatutaki kusubiri 2010. Wengi wanasupport maandamano yetu Kuupinga Utawala wa Kikwete kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom