Japo tuna endeshwa na mafisadi, serikali mbovu, miundombinu mibovu na kadhalika lakini tuna mengi ya kuji vunua juu ya Tanzania. Je ni nini una jivunia kuhusu Tanzania? Maana hizi story za ufisadi...
As I was surfing a few moments ago, I bumped into this catchy quote: "If the president is immune to most easy attacks from the opposition, it [the opposition] needs to find someone who isn't."...
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya US Doctors for Africa imemtunikia tuzo ya heshima rais JK kwa juhudi zake madhubuti za kupambana na umasikini na jitihada zake katika kuhakikisha kila mwananchi...
mheshimiwa henzron mwankenja wa mahakama ya kisutu amemtia hatiani mheshimiwa mwenzake nzota kwa kesi ya kudai na kupokea rushwa. Waliopo kisutu waende kazini kwa picha na habari zaidi.
Kazi ni...
kuna mwanachadema kakutana na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' na kaumia mbavu, kapelekwa kituo cha polisi kwa pf3 wakakataa kumpokea, mpaka kesho yake, sasa nashindwa kuelewa nini mbaya...
Ndugu mwana jamii forum soma kipande hiki toka gazetini
Kihusucho utumwa hiari.
Je tufanyeje nini kwa vijana wetu ili waepuke aina hii ya utumwa?
From RAIA MWEMA 18/02/2009
UTUMWA WA...
Kikwete na huku nako umefuata nini nasikia umekutana na mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal hivi kweli watanzania wanaitaji hili umepita kwenye makampuni ya computer IBM na google hivi unajua...
Mother gives birth to twins with different dads
One-in-a-million occurrence involves two eggs and two different fathers
Video
Mother has twins with two fathers
May 21: NBCs Janet Shamlian...
kuna mwana chadema mmoja kakutanishwa na kipigo cha makomandoo wa ccm, 'janjaweed' kapelekwa kituo cha police wakakataa kumpokea mpaka keshoyake, sasa nachojiuliza nini mbaya na police wetu? mbona...
Wapendwa wana JF.
Ni kweli kwamba wanaume wababe sana kwenye sehemu zao za kazi mfano,walimu kwa wanafunzi wao,bosi kwa wafanyakazi wa chini yake,Viongozi wa siasa kwa wanachama wao na wengine wa...
Swali langu linatokana na sehemu ya mchango wa Mwakyembe katika Bunge kama ilivyo hapo chini
Mheshimiwa Mwakyembe aliwasilisha hoja zake kama hivi:
"Wakili wa Serikali hana usafiri. Yeye na...
Naomba kama kuna mtu yeyote yule amabe anayo au anaweza kunambia wapi naweza kuipata ile hutuba ya Dr mwaykembe aliyohutubia na kuwambia viongozi wa ZANZIBAR kuwa hawana ADABU.
Habari wana JF. Mimi huwa napenda kuangalia Taarifa za Habari za Runinga za ITV na Star TV, TBC1 huwa habari zao hazikidhi haja yangu. Katika Taarifa za saa mbili usiku wa jana niliachwa kwenye...
Wanachama wa jamiiForums hebu nisaidieni kwa hili:-
Kwa mfano Wewe binafsi ukiwa kama muhalifu na kutokana na dhambi zako ama uhalifu wako ukaambiwa uchague hukumu yako mwenyewe kati ya hizi...
SECRETARY CLINTON: This is a particular pleasure and honor for me to welcome the President here. We will be having a working meeting, and then he will be meeting with President Obama in the Oval...
Vigogo dawa za kulevya watajwa
Written by Mwananchi
Monday, 18 September 2006
*Majina yao yapelekwa kwa Rais Kikwete
*Ni orodha ndefu ya majina ya watu 58
*Wamo wafanyabishara, wanasiasa...
Interpol are hunting a couple who have fled New Zealand after a bank paid £4.9m into their account by mistake.
Huan Di Zhang and Hui Gao asked Westpac Bank for a $10,000 (£4,900) overdraft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.