Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Vinyago vya kuchonga vimekuwapo tangu zama za historia na vimechukuliwa kama utamaduni wa nchi nyingi za Bara hili la Afrika, ikiwemo Tanzania. Tanzania imejijengea sifa kubwa ya kuwa na...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Labda ni kwa mtizamo wangu tu, lakini thread zilizoongoza JF leo ni zile zilizoko kwenye Mahusiano na mapenzi. Kila corner,, miti shamba kwenye mapenzi,,, niguse hapa,,,,,kama hivi kama vile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yap! Ni kama kawaida Sikukuu hiyo inapita, lakini haipiti bila vioja na vituko vya hapa na pale. Ni kama saa mbili hivi usiku najirudia nyumbani. Mara kwa mbele naona watu wanabishana, natamani...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wiki iliyopita nilitembelea mgahawa wa Steers Millenium Towers hapa Dar na kukuta Fridge kubwa ya Pepsi inayojiendesha yenyewe yaani Vending Machine Definition yake...A vending machine provides...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi, Nimesoma kwenye gazeti la Habarileo kama sikosei... March, 26 Rais anatarajiwa kuzindua Tanzania Broadcasting Corporation - TBC. Mabadilio yafuatayo:- Yanakuja. TVT Itakuwa na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mwanamama mmoja wa Florida kawanasa wezi kwenye webcam yake live wakiwa wanapora nyumbani kwake yeye akiwa akiwa kazini,kuna technoljia hivi sasa ambapo unaweza kuimonitor nyumba yako mahala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From Commander, U.S. Naval Forces Central Command/5th Fleet Public Affairs MANAMA, Bahrain (NNS) -- At approximately 7:19 p.m (12:19 p.m. EDT) April 12 U.S. naval forces rescued Capt. Richard...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii balaa iloje wakuu.Tazama clip kisha unambie kama ingekua weye je? YouTube - Woman Attacked by Polar Bear after Jumping into Tank at Berlin Zoo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zanzibar’s academicians form NGO Issa Yussuf in Zanzibar, Zanzibar’s academicians living abroad and home have formed a research NGO dubbed “Zanzibar Institute for Research and Public Policy...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
So apparently we had no dignity before the white man who was enslaving and brutalizing us gave us his wondeful religion. Tanzania: Christianity Taught Africans Dignity, Bishop Says 9 April...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadosi 3...Samily Hassan,Nuzalt Hassan,Hassan Hassan na Faidh Abdulasuri..wakazi wa Kijiji cha Ihamila Ihanga, Tarafa ya Rujewa, wilayani Mbarali wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari kutoka Monduri zinadai kuwa halimashauli ya wilaya imeidanganya kamati ya bunge kuhusu mapato na matumizi kwa mara ya pili. Uongo mmojawapo ni kuwa halmashauri hiyo ilitumia sh. 30 million...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kuna nchi ukibadilisha hela (noti na sarafu) unapata kiwango kilekile kwa noti za 100, 50, 20, 10 au 1. Lakini hapa Tanzania naona tunaibiwa sana. Mfano, ukiwa na noti kadhaa (dolars...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kicheko mfululizo kilichotokea kwa takriban miezi sita mfululizo kwa wakazi wa Kashasha mkoa wa sasa wa Kagera mwaka 1962. Kuna mtu yeyote aliyekuwapo huko 1962 na kuweza kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kikwete ametuacha njia panda Na M. M. Mwanakijiji MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa 1 Aprili 2009, haiwezi kupita bila kujadiliwa. Sababu zipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Mbarara Massacre: Part 1 Dear fellow Ugandans and all readers, please bear with our slow updates, due to some changes we are still reorganizing a few things so we can...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kampuni ya Africa Media Group (Ltd) inayomiliki Kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Radio Magic FM, imetangaza kuwa kuanzia sasa matangazo yake yataanza kupatikana kwa njia ya satelaiti ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mnajimu na mtabiri maarufu Sheikh Yahya Hussein akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake jana mara baada ya kuwasili akitokea India alikoenda kwa matibabu. Ameamua kujitokeza baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kawaida kabisa kukuta kichwa cha habari kikubwaa cha kuvutia tena kwenye gazeti lenye heshima la kitaifa KURASA YA MBELE kuashiria habri muhimu na jamii yote ipepesa macho na hata kuingia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rushwa yaombwa kumtoa rumande mchungaji 2009-03-08 11:37:55 Na Thobias Mwanakatwe, Mbeya Sakata la Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Evangelistic Church, Cosmas Mwasenga anayetuhumiwa kukutwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom