Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri &...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Kuwa na idadi kubwa ya wanaokushangilia kipindi ukiwa unaelekea kushinda hakumaanishi una marafiki wengi! Siku utakapoupoteza ushindi ndiyo utashangaa kuwa katika watu mia moja ulioamini ni...
5 Reactions
26 Replies
502 Views
MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo. Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam...
2 Reactions
3 Replies
271 Views
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna...
6 Reactions
19 Replies
465 Views
Nimepata kazi Dar es salaam maeneo ya temeke foma na kuna mtu kanitafutia chumba maeneo ya Tandika kaburi moja kwa Bakar Amadi Lakini kabla ya kuhamia kama kuna wenyeji naomba mnipe ushauri,sifa...
5 Reactions
152 Replies
16K Views
Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo: Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao...
7 Reactions
39 Replies
977 Views
Hii ndio ile inaitwa thubutu kulima utalima kwa kuteseka harafu bei unakuja kupangiwa na madalali wa mjini...tumewakosea nini hawa viongozi wetu, kosa letu sisi kweli ni huu utanzania au kuna...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
📖Mhadhara (65)✍️ Si kila mwanamke au mwanaume ambaye mtakuwa marafiki ni lazima utembee nae au awe mpenzi wako, utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku moja baada ya ya Mkuu wa wilaya ya lindi Victoria mwanziva kuwataka madereva wanaoendesha magari ya abiria stendi kuu ya lindi wawe watulivu na kuendelea kufanya kazi zao za...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Habari wakuu, nataka kuleta historia fupi ya Familia yangu ila sipo vizuri kabisa kiuandishi ila mtanivumilia guys sijui hata sehemu ya kuweka aya ni wapi. Mimi naitwa John (fake name) nimezaliwa...
1 Reactions
8 Replies
978 Views
Jamii za Kiafrika zilikuwa na mifumo iliyokuwepo ya utumwa, lakini mahitaji kutoka kwa wafanyabiashara wa Ulaya na Uarabuni yalibadilisha kwa kiasi kikubwa ukubwa na asili ya biashara hii...
2 Reactions
12 Replies
297 Views
Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc. Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu. "IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE...
1 Reactions
3 Replies
248 Views
Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma...
2 Reactions
8 Replies
429 Views
Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya...
4 Reactions
8 Replies
367 Views
Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh...
0 Reactions
9 Replies
353 Views
Hivi wewe mdau pia huwa unaumia ukiona mwanafunzi kafeli masomo yake. Au na wewe ni miongoni mwa warusha lawama kwa serikali na walimu. Je wewe huwa unabeba effort Gani kunusuru hiyo hali. Mdau...
0 Reactions
6 Replies
276 Views
Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake. Siku hizi kumezuka mtindo wa...
0 Reactions
8 Replies
334 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania yenye lengo la kutafuta ufumbuzi...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan...
5 Reactions
68 Replies
1K Views
Back
Top Bottom