Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mtangaji wa Wasafi Media bwana Oscar Oscar amenukuliwa akiwananga watu wa Arusha kwamba Hawaheshimu watu wengine na ujuaji kibao kiasia ya kuwafanananisha ni President Kwa kujikuta wao ni spesho...
4 Reactions
14 Replies
567 Views
Habari wakuu, Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida. Mizimu ni roho za watu waliokufa. Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama...
22 Reactions
127 Replies
5K Views
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao...
14 Reactions
115 Replies
2K Views
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule...
1 Reactions
10 Replies
460 Views
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya...
7 Reactions
139 Replies
21K Views
Enzi za RFA na Kiss FM, unasikiliza VOA, DW na BBC. Walikuwa na propaganda zao, lakini walihabarisha sana Watanzania juu ya dunia. Kijana mdogo anafahamu yanayoendelea huko Mosul, Iraq. RFA...
12 Reactions
28 Replies
757 Views
Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi...
4 Reactions
21 Replies
483 Views
Share experience yako, ni makosa gani mliyofanya ? kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ? Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ? Kuna watu waliochangia kwenye...
2 Reactions
3 Replies
169 Views
TRA kwanza tunawapongeza kwa uamuzi wq kutaka kurasimisha vyombo vya moto ili muda wa siku 13 hautoshi kabisa walau mngeweka hadi mwisho wa Feb 2025. Pili mmeweka mlolongo wa ducument nyingi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu....!! Hii tovuti ya bodi ya Sukari Tanzania mbona haifunguki. Kuna taarifa kadha wa kadha nazihitaji kutoka huko www.sbt.go.tz
2 Reactions
2 Replies
120 Views
Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu. Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo...
2 Reactions
0 Replies
162 Views
KUOTA NAPAA MARA KWA MARA... Mambo vipi ? Nimekuwa na tabia ya kuota NAPAA mara Kwa mara Toka zamani na kucheza michezo ya kupaa sehemu mbalimbali aswa kwenye milima,miti yaani naota nafurahia...
7 Reactions
20 Replies
496 Views
2015. “Kwa kukosekana kwa saini ya mtu aliyeandika ushahidi huo, haiwezi kusemwa kwa uhakika kwamba kilichomo kwenye rekodi ni maelezo ya kweli ya ushahidi wa shahidi, mwenendo mzima wa kesi...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to...
115 Reactions
240 Replies
20K Views
Je, tunafeli wapi mpaka tunashindwa kuwa na viwanda vidogo vidogo vingi na vya kati maeneo mbalimbali ya nchi ikiwa tuna malighafi mbali mfano Chuma ili kuepuka kuagiza bidhaa za kawaida kutoka...
1 Reactions
0 Replies
108 Views
Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ...
1 Reactions
2 Replies
202 Views
Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa. 1. Kujipost WhatsApp status Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata...
95 Reactions
218 Replies
5K Views
Disclaimer: This thread will contain some spoilers from the book ""In The Name Of The President: Memoirs Of A Jailed Journalist". Naam, Nasoma kitabu cha Erick Kabendera "In The Name Of The...
60 Reactions
222 Replies
7K Views
Sijaelewa imekaaje hii wakuu, Yaani Mlokole akikaa dukani kwake asipouza TU au akiuza kimahesabu akawa anapata hasara. Moja Kwa Moja, Anaamini ushirikina unahusika, Hata Kama Misingi ya...
20 Reactions
75 Replies
1K Views
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya...
2 Reactions
20 Replies
898 Views
Back
Top Bottom