Haki ya Kijana aliyeingizwa Chupa sehemu za siri huko Babati na Mheshimiwa Mbunge ipo wapi? Kijana kadhulumiwa Haki yake na mtunga Sheria?
NB: TLS, wanaharakati kulikon?
Watanzania wametumia zaidi ya Bilioni 900 kuagiza magari kutoka Nje ya Nchi.
Kwa mujibu wa takwimu rasmi,mwaka 2023 & 2024 ndio miaka ambayo Magari yalinunuliwa sana.
Ikumbukwe Waziri wa Fedha...
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama...
Kwa mliowahi kutana na kesi kama hii NAOMBA msaada wenu maana ni mwaka sasa umetimia na nahisi nitakuwa nadaiwa ada ya maintainance kubwa kiasi Kwamba nikiamua kuweka hela yeyote inakatwa papo...
Wakuu
Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022.
Biashara hii...
Wakuu,
Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho.
Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi...
Mtu mmoja asiyefahamika ambaye amepachikwa jina la Pdidy anatafutwa kwa udi na uvumba kwa tuhuma za kubaka wanawake na watoto kimiujiza. Inadaiwa mbakaji huyo inapofika usiku kuanzia saa 7 usiku...
Rais mteule Donald Trump ameitaka Panama kupunguza ada kwenye Mfereji wa Panama au irejeshe kwa udhibiti wa Marekani, akiishutumu nchi hiyo ya Amerika ya kati kwa kutoza "bei kubwa" kwa meli na...
Tulionunua viwanja vya mradi wa serikali vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani tunaomba kujua hatma yetu ya kupewa hati kwasababu wananchi tulionunua hivyo viwanja...
Jf Amani iwe kwenu nyote.
Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni sawa ama sio sawa kumwangia nje wakati wa kugonoka?
Katika hali ya kawaida kabisa ktk jitihada za kupanga uzazi wa mpango leo...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
Kuanzia asubuhi hakuna usafiri wa kutoka Lindi kuja Kilwa, Somanga, Lindi kwenda Mtwara na Lindi kwenda Masasi. Madereva wamegoma wakimlalamikia RTO mpya aliyekuja, ambaye ni mkali ile mbaya...
Wakuu, habari za jioni,
Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo...
NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/=
Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekiri kuwa msingi dhaifu wa mafunzo ya lugha ya Kiingereza kwa wanafunzi wa sekondari nchini umechangia kwa kiasi kikubwa matokeo...
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mkoani Tanga, Timotheo Mnzava, amemwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kuchukua hatua kali dhidi ya watumishi wa Kituo cha Afya Magoma wanaodaiwa kuwalipisha...
Niende moja kwa moja kwenye jambo ambalo limekuwa changamoto na kero kwa Watanzania walio wengi. Kero yangu naipeleka kwa mamlaka inayohusika na kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA). Kuna baadhi ya...
Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin
Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati...
Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu.
Pongezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.