Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ninaandika haya nikiwa bado siamini kama ni kweli ni mimi leo hii ninaye pitia magumu haya ambayo yamesababishwa na mtu nilie mchukulia rafiki kama ndugu yangu. Rafiki huyu kaniponza paka hivi...
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Haya mambo hayoooooo! Mwanamama mmoja nchini Marekani aliyetaka kuutengeneza mwili wake uwe wakuvutia zaidi amejikuta matatani, baada ya kudungwa sindano za saruji na gundi ili kuongeza ukubwa wa...
3 Reactions
3 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Habari ndugu wana jamii forum, naombeni ushauri wenu hawa askari wa barabarani wamekuwa wakiandika fine bila mpangilio, nadaiwa 150000 kwa sasa nawaza nisilipe maana hata hvo hiyo hela kwa sasa...
1 Reactions
30 Replies
873 Views
Kwa mtu yeyote ambaye ameshawahi kusafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine bila shaka atakubali kuwa ni bora usahau kitu kingine chochote wakati unasafiri lakini sio paspoti yako. Soma pia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini...
1 Reactions
26 Replies
817 Views
Igweeeeeeee Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima...
1 Reactions
12 Replies
659 Views
Habari Wakuu, Kumekuwa na taratibu ya mitaa mbalimbali hasa uswahilini viongozi wanaweka utaratibu wa kuweka Sungusungu kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwa utaratibu wa kila nyumba kuchagia...
1 Reactions
5 Replies
355 Views
Nina madogo zangu wawili wanataka kujiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja, 18,000 ya usajili kila mmoja, sasa hivi naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass. Hivi ni sahihi...
2 Reactions
21 Replies
439 Views
Ndugu waajiri ni muhimu sana kuwa makini na hawa watu kwenye Biashara zenu. Msiwaamini kupitiliza wanawafukuzia wateja muhimu. Ukiwepo mwenyewe wanakua wapole, ukiondoka wanafanya wanavojua wao...
2 Reactions
4 Replies
192 Views
Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ? Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je...
1 Reactions
6 Replies
259 Views
Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda...
1 Reactions
10 Replies
445 Views
Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje? Habari wadau. Kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwenye ukataji wa ticket online. Suala hili limekuwa...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa...
24 Reactions
94 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Festo Nzuki (39), mkazi wa Kitongoji cha Izyila, Kata ya Mlowo, Wilaya ya Mbozi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake, Jackson Nzuki (10) ambaye ni...
1 Reactions
10 Replies
460 Views
Habari wakuu! Mpaka sasa watu watano wameripotiwa kufa kutokana na dhoruba ya baridi iliyotokea baadhi ya maeneo ya Marekani. Dhoruba hii imepelekea baadhi ya shule kufungwa, kero za usafiri na...
3 Reactions
12 Replies
334 Views
WAKATI Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) likipandisha bei ya umeme kwa matumizi ya kawaida kwa wananchi kwa asilimia 40, imethibitika kwamba limefutiwa deni lake la muda mrefu kwa Shirika la Umeme...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Salma Saidi, Zanzibar MJI Zanzibar umefunikwa na giza zito kwa muda wa siku tano mfululizo kufuatia kukatika kwa umeme na hatimaye kusababisha biashara nyingi kusimama na nyingine kuharibika...
0 Reactions
256 Replies
32K Views
Back
Top Bottom