Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu.
1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudani,
3. Temeke...
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali...
Habari zenu ndugu zangu,
ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi...
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k
Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25...
Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko.
Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani...
AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI
Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo.
Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es...
KANUNI YA MTETEMO/PEPONI VS
KUZIMU
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
🗣️Hakuna kinachopumzika, Kila kitu kinajongea, Na kila kitu Kiko kwenye mtetemo/kinatetema.
✍️Kila kitu...
Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua...
Natumai mu wazima wa Afya Huku tukizidi kupiga hatua mbele katika Bwana
Mimi ni Msikilizaji mzuri sana wa Mahubiri TV, Na sio Msabato pia siwezi kuwa Msabato Ila neno la Mungu halina dini...
Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe...
Afisa bima wa VodaBima kutoka Vodacom Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Hellen Masali akimuwekea mafuta mteja wa kampuni hiyo Omari Ramadhan jijini Mwanza. Mafuta hayo yametolewa bure ikiwa ni moja ya...
Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao...
Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe.
Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu.
Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko...
Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo...
Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema.
Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya...
Mwandishi Constatine Mathias akamatwa na Polisi Simiyu
Mwandishi Constantine mathias wa uhuru media wa Mkoa wa Simiyu amekamatwa na jeshi la polisi jana usiku Juni 17.06.2024.
Baada ya...
Kufuatia kukamatwa kwa mwandishi wa Habari Dina Maningo, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema mwandishi huyo bado hajapatiwa dhamana jambo ambalo wamedai kuwa kinyume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.