Wilaya ya Temeke imekuwa kubwa
Sasa ni muda mwafaka itengwe kama ilivyo Kinondoni ilizaa Ubungo,
Ilala ikazaa Kigamboni,
Sasa kwanini Temeke isitoe Manispaa mpya ya Mbagala ambayo inaweza...
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuweka rekodi za watu waliouwa/kutekwa/kupotezwa na watu wasiojulikana/police brutality kwenye utawala wa awamu ya 5. Matukio yote yatakayowekwa yawe yametokea...
Mwanadamu hajui wala hatambui siri ya kifo, bali ni aliyeumba ulimwengu huu ndiye anayeijua. Lakini baadhi ya machaguo katika maisha hufanya watu kufanya tathmini ya kifo chako mwenyewe au kujua...
Wakuu je kuna ukweli eti umri wa binadam kuishi ni miaka 70?
Kama ni kweli mtu akizidi umri huo inamaanisha nini au ndo ameshaexpire?
Je, mtu huyu wa zaidi ya miaka 70 anatakiwa afanye nini?
Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
2005 - second floor, mmekuwa teenagers tangu 13 (thir-teen) hadi 19 (nine-teen), karibuni 20s
1995 - karibu ghorofa ya tatu, najua umestuka sana jinsi miaka ilivyoenda speed,
1985 - 4 th Floor...
Mwaka 2025 ukawe mwema kwangu na wapambanaji wote.
Huu ni mwaka mpya huenda sehem ulipo kuna mfanyakazi ameacha kazi, amesitaafu au huenda kuna nafasi, basi tupeane connection ili 2025 tubarikiwe...
Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka.
Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta...
Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k
Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili...
Kama Taifa letu litazingatia maombi ya vijana wabunifu wa tekinolojia,wakiwa katia umri wa ubongo wa moto na kuchukulia ubunifu wao kama kitu muhimu na kuwashika mkono na kufanya tafiti na...
Habari za muda huu.
Chama cha walimu makao makuu Dodoma chamtelekeza mwanachama wake bila huruma ndani ya jiji la Dodoma.
Hayo yalijiri siku ya tarehe 03.10.2024.Ambapo katika tarehe hiyo...
Habari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea...
Mtangazaji mashuhuri wa muziki wa dansi, Sunday Mwakanosya, anayefahamika kwa kazi zake kupitia Chanel Ten na Magic FM, amefariki dunia leo alasiri.
Kwa mujibu wa maelezo ya mmoja wa wanafamilia...
Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya...
Ni ya ajabu kwangu! Sijawahi kuiota ndoto ya aina hii!!!
Nimeota nimetoka nje ya mwili wangu na kupaaa hadi eneo ambalo sikuwahi kufika, na hata sasa sipafahamu kama eneo hilo lipo au ni eneo la...
NAOMBENI NIFUNGE MWAKA KWA POST HII; SPIRITUAL CLEANSING AND HEALING (KUITAKASA, KUISAFISHA NA KUIPONYA ROHO NA NAFSI YAKO)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Nataka...
Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha...
Nguvu ya Kumsifu na Kumwabudu Mungu muumba Mbungu na Nchi katika Maisha yako
Sifa na kuabudu ni maneno yenye maana inayokaribiana. Kusifu ni kueleza wasifu wa mtu au kitu. Kwa maana nyingine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.