As 2024 draws to a close, I take this moment to reflect on the year that has been a year of lessons, growth, and significant life changes.
This year, I experienced a profound personal loss with...
Bill Clinton au William Blythe aliyekuwa rais wa Marekani, Jeff Bizos tajiri mkubwa duniani, Steven Jobs mwanzilishi wa Microsoft, na wengine wengi SOMA HAPA walitelekezwa na baba zao wakatokea...
Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani...
👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama
👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni
👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha...
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.
Papa Msofe anadai anamiliki ardhi...
Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake...
Kama ulikua hujui hili basi leo elewa.
Kazi ya mke kwenye familia ni pamoja na kumwombea mme wake afanikiwe kila jambo.
Kama mke mzinzi basi hapo jua upo peke yako.
Mke mzinzi hawezi...
Wasalaam.
Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako...
Wakuu habari
Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa,
Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo
Kingine kipo ubungo external
Cha mwisho kipo kimara mwisho
Na Sina mpango...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100...
Good morning Jf.
Siku chache zilizopita watu wasiojulikana wamevunja vioo vya darasa(ni vyumba vya walimu kwa sasa) na vioo vya ofisi ya mwalimu mkuu katika shule ya msingi Bondo iliyopo kata ya...
Shalom,
Naomba kuutarifu uma na Serikali kwa ujumla kwamba mimi na wenzangu kadhaa miaka ya 2010, 2011 kulikuwa na taarifa za wazi juu ya mgogoro wa eneo hilo na ukiachana na wale ambao tayari...
HESHIMA kwako RTO wangu
Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran
Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran
KUNA matukio siku ya...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100...
Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma,
Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?
Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko...
Salamu za Mwaka Mpya
Wa 2025
Toka kwa Christopher Mwakasege
1. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Tunamshukuru Mungu sana, kwa kutupa neema yake ya...
Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime.
Afisa Mkuu wa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Kinondoni imemuachia huru Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka ya kughushi nyaraka za kiwanja...
STORM: Stanford's AI Revolution in Research and Content Creation
In today's world, where information is abundant but often fragmented and overwhelming, the need for efficient and reliable...
Usiku wa mwaka mpya .
Majanga yanatafutwa kwa lazima.Kiongozi anaruhusu watu wavuke bure na bila utaratibu kwenda kwenye tamasha la mwaka mpya.
Kivuko chenye uwezo wa KUBEBA watu 100 na Magari 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.