Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template...
11 Reactions
14 Replies
397 Views
Wakuu, Ivi ww unaweza sema hivi hata kama ni kweli?? Kua mkweli
1 Reactions
23 Replies
628 Views
Enh, hawa wote wamekufankwa hiyo issue Paul Allen Sheldon Adelson Zhao Ning Dietrich Mateschitz Steve Jobs David Koch Kirk Kerkorian Jon Huntsman Sr. Richard Pratt James Simons Audrey Hepburn...
1 Reactions
10 Replies
387 Views
Halafu unakuta mtu anae toa hoja hiyo anajiita msomi. Mnaendaga shule kukariri eti eeh? Mtu alie ongoza Chama kwa muda mrefu tena kwa mafanikio makubwa si ndio anatakiwa kuendelea kupewa nafasi...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya...
3 Reactions
1 Replies
257 Views
Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa...
0 Reactions
4 Replies
424 Views
Utangulizi Kitovu ni ishara ya nje ambayo inaonyesha muunganiko wa mtoto na hasili yake. Ezekieli 16:3-4 [3]useme, Bwana MUNGU auambia Yerusalemu hivi; Asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa. Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..?? Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa...
31 Reactions
326 Replies
6K Views
Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi...
4 Reactions
12 Replies
600 Views
Najiuliza na kujiuliza tena na tena. TASAC palikuwa na kitengo cha Clearing and Forwarding ambapo hawa kazi yao ilikuwa ni kusimama kama serikali kufanya clearance ya kila kitu kutoka hapa nchini...
1 Reactions
1 Replies
301 Views
Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa...
4 Reactions
135 Replies
12K Views
Habari viongozi kijana wenu na shida moja. Mimi ni kijana Mtanzania ,shida yangu ni moja, mimi naitwa Elieth jina la kuzaliwa nalo lakini tangu nakua hilo jina walikuwa wakiniambia ni la kike...
4 Reactions
12 Replies
596 Views
Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu. 👇🏾 Atheists God non believers And religionist. Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za muda huu wadau . Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja . Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi...
30 Reactions
72 Replies
3K Views
📖Mhadhara (66)✍️ Muammar Gaddafi (aliyekuwa Rais wa Libya) alizaliwa Juni 7, 1942, aliuawa Oktoba 20, 2011. Kama kawaida binadamu ukifariki watu ndo wanaanza kukumbuka mema na mazuri yako. Baada...
0 Reactions
2 Replies
230 Views
Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi...
2 Reactions
3 Replies
479 Views
https://www.youtube.com/watch?v=3_umentdZoo
4 Reactions
16 Replies
462 Views
Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha...
2 Reactions
1 Replies
159 Views
Back
Top Bottom