Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sijajua wanajikuta wao ni kina nani.. Mtu unafuatilia bima zaidi ya miezi mitatu na majibu yao ni simple tu.. Tutafuatilia na ukifika ofisini wanakupa namba ya ofisi ambayo ni 0734163431 ili...
2 Reactions
7 Replies
247 Views
Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake. Mimi ni middle...
3 Reactions
34 Replies
677 Views
Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si...
4 Reactions
22 Replies
454 Views
Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda...
8 Reactions
32 Replies
701 Views
Tamko rasmi la kanisa la TAG kuhusiana na kuondoka kwa Mchungaji Moses Magembe kujitenga na kanisa hilo hili hapa https://youtu.be/Uo4iQW1fcS0?si=VqohaoaRsz3wcAQi
5 Reactions
117 Replies
7K Views
Habari, Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya...
6 Reactions
6 Replies
176 Views
Msichana ambaye hana nauli ya kwenda kumtembelea mtu ambaye anadai kuwa anampenda au mpenzi wake. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utaleta...
9 Reactions
29 Replies
889 Views
Wadau, kumbe kuna watu wanamiliki vyombo mbalimbali vya kiteknolojia kama simu jana na komputa ila bado wamekuwa na ufinyu wa kujua taarifa mbalimbali kupitia vifaa vyao. Mfano siku ya jana...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la...
0 Reactions
7 Replies
244 Views
Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Mwandishi wa habari mwakilishi wa mkoa wa Ruvuma kutoka Azam media, anaandika utumbo Kama huu kwenye mitandao na kuacha masuala ya msingi Ni aibu sana. Anaifurahia laki moja na kusahau taaluma...
1 Reactions
5 Replies
206 Views
Nakumbuka mwaka 2022 mwezi wa nne, mama mjamzito baada ya kushindwa kujifungua vizuri kwenye hospitali ya wilaya kwasababu ya complications za ujauzito wake kapewa rufaa kuenda hospitali nyingine...
17 Reactions
34 Replies
667 Views
Mageti ya scanning kwaajili ya kadi ni bora zaidi kuliko kutumia paper tickets? Nataka nijue changamoto za Mwendokasi na nini kinapelekea kuwepo kwa huduma mbili kwa wakati mmoja, Paper tickets...
1 Reactions
3 Replies
146 Views
Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona...
4 Reactions
27 Replies
806 Views
Mchungaji wa Kanisa la Agule Pentecostal Assemblies of God (PAG), Wilaya ya Serere, Uganda, John Michael Ekamu (52) amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na muumini anayedaiwa kuwa na mapepo...
4 Reactions
9 Replies
418 Views
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa...
6 Reactions
36 Replies
939 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
27 Reactions
369 Replies
11K Views
Ulipojielewa, uligundua kuwa jina ulilopewa na wazazi wako ni KITUNGUU, na jina la baba yako ni KIMEIVA MAGANGA. Kwa hiyo, majina yako kamili ni KITUNGUU KIMEIVA MAGANGA. Ikiwa huyapendi hayo...
2 Reactions
5 Replies
212 Views
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa...
1 Reactions
9 Replies
292 Views
Back
Top Bottom