Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika...
2 Reactions
2 Replies
235 Views
Mnaokwenda kuombewa kwanza hamna uhusiano mzuri na Mungu BABA YENU. Hailezeki hata kwa maisha ya kibinadamu una baba yako mzazi huwezi kumuendea kumuomba kitu mpaka utumie kuwadi fulani...
1 Reactions
4 Replies
185 Views
Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo...
2 Reactions
4 Replies
320 Views
Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024; 1. Ruvuma ulitumia tani 100,000, 2. Njombe tani 75,358, 3. Mbeya tani 75,252, 4. Songwe tani 71,230 5. Iringa tani 44,214.
2 Reactions
10 Replies
359 Views
Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imefanya maendeleo makubwa katika sekta ya usafiri kupitia ujenzi wa Reli ya Kiwango cha Kati (SGR). Ujenzi huu umekuwa na manufaa makubwa kwa uchumi wa...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa. Itapendeza kama...
17 Reactions
90 Replies
2K Views
Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Ni lini serikali itaanza ujenzi wa SGR ya kwenda Moshi na Arusha? Hakuna kanda inaongoza kwa kua na wasafiri na watalii kama kanda ya kaskazini. Sasa ni lini serikali yetu itaanza ujenzi wa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
wasaalam, Ofiisi za Nhif TANGA mna uzembe uliopitiliza maana haiwezekani watu waombe vitambulisho vya Bima ya Afya kuanzia Novemba 2023 hadi leo havijatengenezwa, halafu confortably mnajibu eti...
1 Reactions
2 Replies
193 Views
Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika...
1 Reactions
9 Replies
626 Views
Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa...
2 Reactions
1 Replies
119 Views
Hellow nipo DAR ES salaam, Tanzania ninaomba Msaada (Guidance) WA kupata documents zinazokubalika kufanya verification ya residential address kwenye account ya payoneer, Nimejaribu bank statement...
0 Reactions
2 Replies
215 Views
Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali...
9 Reactions
15 Replies
498 Views
Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA...
1 Reactions
11 Replies
521 Views
Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia. 👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu...
4 Reactions
15 Replies
353 Views
Nawasalimu ninyi nyote, Mungu mkubwa nipo salama. Nipo hapa leo kuwapa experience yangu niloipata kutoka kwenye kulelewa na mama wa kambo (step mother) 1. Ukiwa na akili darasani KUSHINDA watoto...
4 Reactions
5 Replies
344 Views
Wana Jamiiforums Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh? Tunapoelekea kuumaliza Mwaka huu wa 2024 na kuelekea Mwaka mwingine siku chache zijazo. Nina maneno machache ya kuwaambia Familia...
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Back
Top Bottom