Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo. Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari? Pichani ni Water...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na...
2 Reactions
8 Replies
313 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au...
1 Reactions
0 Replies
491 Views
Merry Christmas 🎄 Lissu big no. Ana mihemko.hataweza kudeal na mambo makubwa.itakuwa vurugu Mbowe nae big noo.miaka zaidi ya 20 jamani apumzike. John Heche.kwanza handsome, bonge la genius, ana...
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa. Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Habari jamvini. Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200. Fact 2...
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Kwa nini kuchoshwa na usahihi? Mara nyingi kuna watu ambao huwa na msimamo wa mambo wanayoyaamini. Mfano: Kuna binti mmoja alikuwa anasoma katika shule ya upili(secondary) na lengo lake lilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Nitandao yote inakataa kununua umeme, hili bila shaka ni Tatizo la Tanesco yenyewe. Taarifa zingine zinaeleza kwamba maofisa wengi wa Tehama wameenda makwao kula sikukuu, hii ni aibu.
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Mwaka huu ulikuwa mwaka niliojifunza mengi pia watu wa jf ni watu wema sana wengio wao wamenifundisha vitu vingii sana sina...
1 Reactions
2 Replies
89 Views
Ndoa za saizi kiujumla kwa asilimia kubwa sio kama vita, ila ni vita. kuingia ni rahisi ila kutoka kuna wakati mwingine lazima mmoja afe, Na kwa hii imetokana kwamba vijana wengi huwa wanaoa...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Wataalamu wa dini mje hapa? Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu? Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan...
25 Reactions
428 Replies
9K Views
FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake...
5 Reactions
29 Replies
774 Views
Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅...
10 Reactions
14 Replies
419 Views
Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati. Matendo ya kimaskini ni...
8 Reactions
18 Replies
790 Views
Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
3 Reactions
115 Replies
3K Views
WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake. Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini. Yaani basi tu sijasoma IT...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Msisahau. Mwaka mpya2025, lipo jukumu muhimu na la maana sana la kutekeleza kwa maslahi mapana na ustawi wa chadema. Nalo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuukataa katu katu...
1 Reactions
6 Replies
158 Views
Habari wakuu, Nimepata kuishi mikoa kama 8 hivi hapa Tanzania kwa kanda tofauti tofauti Lakini hali imekuwa tofauti upande wa Mbeya wakati fulani nilikuwa nawalaumu marafiki zangu kwa nini...
49 Reactions
485 Replies
62K Views
Habar wakuu nauliza ulaji wa korosho Kila siku ni salama kwa afya ya figo? Naje haiongezi cholesterol
3 Reactions
2 Replies
177 Views
Back
Top Bottom