Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Husika na maada tajwa hapo juu; Naomba Kama Kuna mtu humu, alishawahi kukopa mkopo vision fund au ni mtumishi wa taasisi hiyo, atuambie taratibu zake zipoje na mkopo inatoka baada ya muda gani...
2 Reactions
1 Replies
168 Views
Wasomi ni watu Wenye maswali mengi sana ktk Biashara,pia Wasomi uendesha mambo kwa maelezo mengi,ila sisi ambao sio Wasomi si Tunafanya tu bila kua na maswali mengi matokeo tutakunana nayo uko...
2 Reactions
4 Replies
185 Views
Leo nilimtembelea Jestima, pale kijiweni opposite na kituo cha polisi wanapouza mchicha. Mama Naomi ndiye mwenye matuta mengi zaidi. Nikakaa dukani kwa Willie mume wa Mama Eliza nikinywa zangu...
27 Reactions
129 Replies
16K Views
Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
0 Reactions
32 Replies
591 Views
Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali? Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda. HALAFU...
4 Reactions
11 Replies
299 Views
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti. Why...
0 Reactions
19 Replies
356 Views
Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama...
16 Reactions
32 Replies
10K Views
Wakuu, Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake. Ni hasara. Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo...
10 Reactions
46 Replies
1K Views
Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari...
10 Reactions
20 Replies
669 Views
Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi...
6 Reactions
23 Replies
920 Views
Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
MWANZA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu zaidi ya 300 wanaojihusisha na vitendo mbalimbali vya kihalifu ikiwemo makosa ya barabarani ambayo yanahatarisha maisha na kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Wakuu, Nimetoka hapo Tegeta one time, wakati naperuzi peruzi hapo ndio nikaipata hii. Ni kwamba baada ya tukio lile la TRA sasa hivi kila siku polisi wanaenda maeneo hayo saa nne usiku, ukikutwa...
7 Reactions
23 Replies
790 Views
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi...
1 Reactions
88 Replies
1K Views
Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya. Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka...
1 Reactions
3 Replies
255 Views
Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na...
2 Reactions
7 Replies
226 Views
Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine. Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭...
2 Reactions
25 Replies
576 Views
Mimi ni abiria ambaye natumia huduma ya Mwendokasi karibia kila siku hasa Kituo cha Kivukoni lakini kuna kero ambayo naona siwezi kuendelea kuifumbia macho. Katika Kituo hicho huduma ya choo cha...
2 Reactions
7 Replies
358 Views
Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili” Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea. Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu...
21 Reactions
89 Replies
4K Views
Back
Top Bottom