Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwanamke niliyeanza nae mahusiano nimeota akiwa ndani kwangu amebadilika akawa nyoka anakimbilia chini ya ya mto wa kitanda na kujificha Penzi bado bchi na nlikuwa na mpango wa kumuowa Hi sijui...
8 Reactions
24 Replies
411 Views
Hivi ukienda kujaza mafuta sheli iwe diesel au petrol au mafuta ya taa,hivi kwenye ile mashine[pump yenye mpira na gang anayowekwa kwenye chombo ili akipress mafuta yatoke,hapa Swali ni je! Yale...
1 Reactions
3 Replies
241 Views
Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga na kikundi cha watoto wahalifu wenye umri chini ya miaka 18 katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu, jijini Dodoma. Vitendo...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu (T), wametaka ufanyike uchunguzi wa kina juu ya chanzo cha kifo cha marehemu Sheikh Said Mohamed Ulatule ambaye...
0 Reactions
7 Replies
822 Views
Ni miaka zaidi ya 2,000 sasa tangia azaliwe! Happy Birth Day kwake in Advance
4 Reactions
23 Replies
526 Views
Wakati wa ukoloni kulikuwa na mzungu mmoja aliyeitwa Ronald De La Bere Barker. Kwa majina mengine Mtawa Maporini au Mzee Rufiji. Alikuwa anaishi kwenye mapori ya karibu na mto Rufiji. Aliandika...
2 Reactions
3 Replies
497 Views
1. Ugonvi wa watoto: watoto wanapocheza pamoja wakigombana, jambo aya ni wazazi wa watoto kugombana pia kwa kesi za watoto, unless hizo shida zinaleta hatari ya maisha, usiingilie, mtagombana...
3 Reactions
7 Replies
444 Views
Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu...
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Ebana leo nimekumbuka mwaka 2022 nikiwa mgeni mkoa x. Nilienda mkoani humo ili kuanza kazi katika kampuni flani, nilipofika niliwakuta ma brothermen na maisha yao wapo gud so mbaya wanaishi nyumba...
2 Reactions
17 Replies
963 Views
Air France imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za moja kwa moja kati kutokea Paris kwenda Zanzibar kuanzia Machi 22 hadi Mei 25, 2025. Taarifa hii inakuja katika kipindi ambacho wageni...
3 Reactions
1 Replies
327 Views
Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama...
2 Reactions
8 Replies
363 Views
Hii kazi nashindwaga kuielewa lengo lake ni kumfanya mtu ajae mwili au ajae fedha yaani unakuta mtu miaka na miaka kuanzia asubuhi mpaka jioni anahangaika kukimbiza tofali na mwili ushakua jumba...
13 Reactions
132 Replies
2K Views
Kituo cha mabasi cha Mpemba, kilichopo nje kidogo ya mji wa Tunduma mkoani Songwe kina vyoo vibovu na vinatia kinyaa na aibu. Kati ya vyoo vya haja ndogo 10, vitatu tu ndivyo vizima, vingine...
5 Reactions
11 Replies
777 Views
Anonymous (1a91)
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini Natanguliza shukrani na nipo hapa...
11 Reactions
100 Replies
3K Views
Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai Barabara inayopita katika Daraja la Mto Mzinga pamoja na Daraja lenyewe maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam ni changamoto kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
575 Views
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti...
2 Reactions
26 Replies
417 Views
VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa. Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba...
3 Reactions
15 Replies
469 Views
NCCR, TLP, CUF, CHADEMA, ACT n.k Siku wananchi wakijua umuhimu wa hii miradi kwa chama cha mapinduzi itakuwa mwanzo mzuri wa kujikomboa.
1 Reactions
9 Replies
171 Views
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni yaani tulikuwa tunasema wachina ndio Wanakula vitu vya ajabu kumbe wao Hawafui dafu mbele ya watu wa Cambodia Katika jiji PHNOM PENH. Bwana bongo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom