Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo...
Wanabodi
Naomba niwaletee kwenu hawa wataalam kwenu, dondoo juu ya wakifanyacho na umuhimu wao kwa wale wote wanaofanya kazi, karibuni.
OSHA, kwa kirefu ni Occupational Safety and Health...
Mzuka wanajamvi!
Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24)...
Meli ya hospitali ya Jeshi la maji la China, "Peace Ark" inayotekeleza jukumu la “Operesheni ya Masikilizano mwaka 2024”, hivi karibuni ilihitimisha ziara yake ya urafiki na huduma za matibabu...
Wakuu,
Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi...
Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2019 ya Shirika la Afya Duniani (WHO), matumizi ya pombe, hata kwa viwango vidogo, yanaweza kuleta madhara ya kiafya, lakini madhara makubwa zaidi yanatokana na...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo.
Kusoma zaidi alichoeleza...
Wakuu leo nimeamka na kujikuta nikitafakari sana kuhusu mambo ya kifamilia hass yanahusu Baba na Mama. Nikiwaweka kwenye mizani ni kuwa Mama anapewa uzito mkubwa kuliko Baba. Kila upande wa hii...
wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2.
Pia ni plantform gan naweza kuzipata kununua eos,chain...
FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA
Na Happiness Shayo - Mumbai, India
Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing...
MAHARI SIO LAZIMA, NI MILA POTOFU YA KUPIGWA VITA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya Mila potofu isiyo na maana ni suala la Mahari. Hakuna sababu hata Moja yenye Maana ya MTU kutoa...
Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi...
Taarifa ya Jeshi la Polisi
==
Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao.
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent...
Kila siku hasa jioni kuna pikipi zina pita maeneo ya Goba njia 4 na kupiga mafataki ya “STOP ENGINE” ambayo ulio kama mlio wa risasi na kuzuo hofu sana, hii tabia sasa ni mwaka 2 na naona...
Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu...
Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuzuia ndege za shirika la ndege la Air Tanzania kuingia katika anga la nchi wanachama wake, jumla ya nchi 28, kwa madai kuwa shirika hilo halijakidhi vigezo vya...
kulingana na mtiririko wa biblia wa manabii unaishia kwa yohana kama ndie nabii wa mwisho yani yule alieandika kitabu cha ufunuo ambacho ndio kitabu cha mwisho kwenye biblia na ukiangalia manabii...
Kwa mujibu wa utafiti wa Harvard, kufanya mazoezi mara kwa mara kunaweza kuongeza muda wa kuishi! 🌟
Mazoezi yanafaida nyingi kwa afya yetu, ikiwa ni pamoja na:
Kuboresha afya ya moyo ❤️...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.