Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi:
* Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi?
* Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine?
* Je...
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria...
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za...
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari...
Huu ni uzi maalum kwa sisi tusio na magari ila tunatamani siku moja tumiliki magari. Kila mmoja wetu ana ndoto ya kumiliki gari. Gari kali. Full kiyoyozi.
Mimi binafsi naizimia sana landrover...
Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana...
Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye...
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE...
Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda...
Katibu Msaidizi Sekretarieti ya Maadili Kanda ya Kusini, Bw. Filotheus Manula amewaambia Viongozi wa Umma kuwa Maadili kwa kiongozi wa Umma hayapimwi kwa kiongozi kuwa masikini au tajiri, kwani...
Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko...
Ni Mjasiriamali maarufu Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikuwa anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro...
Na John Mapepele
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, WTA) kwa Bara la Afrika kwa mwaka 2025...
Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja...
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua...
Praise and worship teams, imekuwa sehemu muhimu ya ibada katika makanisa mengi. Hata hivyo, kwa baadhi ya waumini, makundi haya yamekuwa chanzo cha kero na mzozo ndani ya kanisa. Wengine wanadai...
Moja kwa Moja kwenye mada husikq
Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer...
son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima
ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.