Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania.
Hali hiyo ilipelekea watu wengi...
Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu...
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku...
Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako.
Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu
Maandiko yanasema...
KIZAZI CHA SASA TAMBUENI KUWA; HAYA NDIO MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUKUSABABISHIA KUUAWA BILA KUJALI SERIKALI IPO AU HAIPO!
Anaandika, Robert Heriel.
Kuna mausia ambayo kizazi cha sasa hakijapewa...
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na...
Kwa nijuavyo kuna aina tofauti za maombi. Maombi binafsi yanayohusu haja zako binafsi. Kuna maombi ya jumla kuombea watu wengine mfano uponyaji na kuna maombi ya vita kama vile kukemea hali...
Baada ya mda sio mrefu kutoka kuichakata Bikra nimeona niwahusie vijana kuwa tafuteni sana pesa wanwake wa sasa wapo kimaajabu sana yaani kwa sasa mwanaume ukiwa smart una Gari kali na mahali...
Hii kampuni ya SuperFeo ruti tajwa hapo juu mabasi yake yamechoka. Yutong ya tangia mwaka 2020 mpaka leo tunaelekea 2024 unategemea nini.
Halafu hawa mabasi ya kutosha, fikiria basi lililotoka...
Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano
lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi...
Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k
Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu...
https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari...
Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose.
Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana.
Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose...
🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿
Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo:
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia...
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Neema Wikechi (21) mkazi wa sabasaba kwa kumkata mume wake Flowin Msigwa (27) sehemu za siri na kitu chenye ncha kali na kumsababishia maumivu makali...
Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.