Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime...
Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya...
Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo
kama unataka...
Huduma ya mabasi ya mwendokasi inazidi kuwa mbovu, wahudumu na madereva wananyanyasa sana abiria, tunacheleweshwa vituoni zaidi ya saa mbili na inakuwa kero tunachelewa makazini.
Serikali...
Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi.
Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi...
Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa...
Wakuu habari za muda huu.
Kuna uwekezaji ambao upo kwa mfumo wa betting,sitaki kuingia ndani sana kuudadavua,kubwa tu nahitaji kujua,Je,uwekezaji huu ni salama? Gavoo inajua kama raia wake...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye sherehe za kuweka Wakfu jengo la Ibada la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni, leo Disemba 15, 2024.
"Mkoa wa Dar es...
Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi...
Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.
Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote...
Wakuu,
Sakata la yule Afisa wa TRA aliyefariki limeendelea kuchukua sura mpya.
===================
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda, ametangaza kuwa...
Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava...
Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi.
Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia...
MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara
Dr mwasola
✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa
✍️P2 ni...
Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa.
Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu...
Habari za mchana wakuu ,bila kuwa chosha kama kichwa cha habari hapo juu.Huko marekani kuna mashindano ya kuonesha vipaji yaani marvel talent, nafikiri mashindano hayo ni muda kidogo (sina hakika...
Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya...
Kitabu kitakatifu cha Quran Kinatanabaisha kuwa binadamu na viumbe vyengine ni nafsi na lazima vionje(kupitia/mchakato wa kifo).
Swali langu linakuja vipi kuhusu mwili je,haufi?au ndiyo unazaliwa...
Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad.
Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine...
Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.