Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Dar es Salaam: Kundi la makampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana barani humo kupitia ujuzi wa kidijitali kama...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
H Hii inasikitisha sana wakuu, maumivu ya hapo hayaelezeki kwa kweli. ======== Watu tisa wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kusombwa na maji baada ya mto...
1 Reactions
3 Replies
466 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu amesema wataendelea kuvilea vilabu vya kodi mashuleni ili kuwaandaa watoto kuwa walipokodi wazuri wa baadae na kuwa...
0 Reactions
7 Replies
303 Views
HIVI UNAJUA YA KWAMBA🌚 -Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃 -Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora...
0 Reactions
5 Replies
315 Views
Wakuu kwa wale wanaotumia NMB mshahara wa mwezi huu umeingizwa au ndiyo bila bila? Wakuu duuuh sio poa kabisa
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi! Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya...
19 Reactions
77 Replies
3K Views
Wana jamvi, kuna Mkuu wa mkoa mmoja Anaitwa Saidi Mohamed Mtanda ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyepokea Kijiti kutoka Kwa Amos Makala akitokea Mkoa wa Mara baada ya kuwa Mkuu wa wilaya kwenye wilaya...
4 Reactions
22 Replies
763 Views
Katika ulimwengu huu wa mabadiliko yasiyokoma, je, tunaelekea wapi? Maisha yetu ni safari ya kutafuta maana isiyofikika au ni kizungumkuti cha kutafuta lengo ambalo halipo? Katika mtindo huu wa...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Habari wanajamvi., Tupo kwenye ulimwengu wa kisasa, ambao Teknolojia imechukua nafasi kubwa kwenye Dunia na kuteka baadhi watu na kujikuta nusu ya maisha ya wengi yametawaliwa na Teknolojia...
1 Reactions
8 Replies
698 Views
1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi...
1 Reactions
6 Replies
574 Views
N jambo la kusikitisha sana sana 2017 Serikali ilikuja ikafanya uchambuzi wake wakitarajia kuchukua eneo la kipungun kwa utanuzi wa airport Watu wakasimamishwa kuendelea kujenga...
3 Reactions
7 Replies
197 Views
Wakuu, Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya...
1 Reactions
13 Replies
362 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa Septemba 1, 2024 kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa siku tatu mfululizo kuanzia Septemba 1 hadi Septemba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Tanzania imeendelea kung'ara kwenye utalii katika ngazi ya kimataifa na hii ni baada ya kuibuka kidedea kwa mara nyingine tena kwenye tuzo za World’s Leading Safari Destination...
4 Reactions
18 Replies
652 Views
IIe mikopo yetu ya mtandaon na makelele watu wanatumiwa msg za madeni wasiohusika nilijua ziko Tanzania tu Hii michezoo iko hadi Kenya. Benki kuu imelaan tabia inayoendelea na wahusika...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Wadau humu jf, najua wengi humu mnauelewa na maeneo mbalimbali hapa jijini.Napenda kujua kwanini pale magomeni panaitwa magomeni usalama au chang’ombe usalama
0 Reactions
6 Replies
286 Views
Kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi, Wilaya ya Rorya. Hizi ni baadhi ya maswali yanayojitokeza: Hawa wananchi hawajaelezwa ni kwa nini wanahamishwa...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu? Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
0 Reactions
20 Replies
510 Views
Hili eneo kwa sasa sio maarufu kama miaka ile ya 80- 90. Hapa ilikuwa ndio kama kituo kidogo cha abiria wa mikoani. Wale wauza mikate wa stendi ya mkoa zamani walikuwa wanauzia pale Kibo. Ilikuwa...
44 Reactions
318 Replies
45K Views
Back
Top Bottom