Kwa kusoma kwangu maandiko mpaka hapa tulipofikia, ninaamini haya.
Malaika ni weupe kama Wazungu
Binadamu wa kwanza, yaani akina Adam walikuwa weusi.
Sijajua kama na nyie mmegundua hili! Ila...
Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA
Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la...
Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004.
Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji...
Jumapili ya leo nimepata wasaa wa kukumbuka mila na desturi za mababu. Nimekumbuka jinsi ukoo ulivyokuwa unakutana kwa ajili ya kuwaomba mababu zetu watuombee kwa Mungu wao ili kufunguliwa juu ya...
Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza
Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu
Kusafirisha binafamu
Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara
Kwa Afrika wafanyabiashara mafia...
Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension.
A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye...
Afya ya akili
kuongeza utulivu wa kihisia - Simu zinachangia sana kutibua hisia, upo whatsapp / instagram mara unakutana na status za watu mnaojuana wametoboa huku wewe unajitafuta, wameoa /...
Huwa nasikia watu wa kabila fulani anasema kabila fulani ni watani zake, mfano utasikia msukuma anasema mgogo ni mtani wake n.k
Nini kinachopolekea kabila fulani kuwa watani wa kabila lingine...
Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo.
Ila sijamsema Sugu na Bongo...
Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata...
Habarini ndugu zangu,
Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya...
Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume!
Yaan unamkataa kabla halafu...
Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha.
1. Ni madini gani hayo?
2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa?
3...
Huu Mtandao Umekuwa wa watu wajinga mno ,unaamdika jambo Kwa niaba ya mada ulizo skia
Utaambiwa ni ww
Kuongozana na wajinga utaitwa mjinga hata kama unawailimisha wale wajinga.
Nimefuta nilicho...
Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari...
Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo...
Aman itamalaki
Kama wanavyoheshiwa walevi bas na sisi wavuta bangi tuheshimiwe
Kwanza bangi haina madhara kama kwa pombe bangi ni kiburudisho safi kabisa wala hakina shida na ni dawa ya kansa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.