Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anonymous (141a)
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi. Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila...
1 Reactions
8 Replies
449 Views
https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo. Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu. 1. Huwa unajikumbusha...
9 Reactions
56 Replies
925 Views
Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu...
3 Reactions
10 Replies
412 Views
Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019. St. Augustine imechapisha tangazo kwenye...
15 Reactions
330 Replies
28K Views
Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya: --- Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho. Inspector nilikuwa kijana mwenye...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida. So much suffering in this world.
8 Reactions
50 Replies
1K Views
Hizi App zimekuwa ni changamoto kwa jamii hasa unapopata shida ukikopa kwao ujue umejiingiza kwenye mtihani Moja ya changamoto zinazoikumba jamii au watu wanaokopa ni kulazimishwa kulipa deni...
1 Reactions
5 Replies
299 Views
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu hii imekaje Nilikuwa nime-deposite hela UTT kupitia NMB sim app lakini mpaka sasa inasoma zero
6 Reactions
16 Replies
486 Views
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana.. Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu...
25 Reactions
113 Replies
20K Views
Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo. Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
425 Views
Wako poa sana hawana majivuno, wanajiwekea mkazo katika kujifunza na sio kujigamba kwa upeo wao. Wanatumia uzoefu kuyaangalia mambo na kuyachambua pia ili wafikie pale wanapopataka...
10 Reactions
17 Replies
564 Views
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024) Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM Hamisa naye...
43 Reactions
182 Replies
6K Views
Wazazi wametakiwa kushirikiana vyema na walimu hasa katika suala la kuwalipia pesa ya chakula wanafunzi. Kumekuwa na utaratibu Kwa baadhi ya shule kutoa huduma ya chakula Kwa wanafunzi shuleni...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Inasikitisha sana, poleni wote waliofikwa na janga hili. Miongoni mwa watu walionusurika katika ajali ya jengo la Kariakoo, jijini Dar es salaam Tanzania, Norbert Oswald amesimulia jinsi...
0 Reactions
1 Replies
466 Views
Habari zeni wandugu this is serious ishu ndo maana nime wa tag watu muhimu.. Napoishi na kufanya kazi lindi kilometa 450 to dar safar masaa 7 nauli 32000 mshahara wangu take home 700000+.na...
5 Reactions
11 Replies
532 Views
John Mafuru mfanyabiashara Kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo amesema yeye na wenzake wako Eneo la tukio tangu jumamosi na hawajarudi nyumbani Mafuru amesema wameelezwa Rais Samia atawatembelea...
3 Reactions
10 Replies
513 Views
Back
Top Bottom