1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu?
2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
IGP: Ajali ya Shabiby Tunduma
- Ajali ya Shabiby: Inahusisha mabasi ya kampuni ya Shabiby ambayo yanatumika katika safari za Tunduma.
- Faini za Trafiki: Taarifa inasema kuwa hakuna madereva...
Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo.
Ukuaji...
Moja kati ya manguli ambaye amehudumu katika mihimili yote ya dola, amepumzika. Ni Mh. Jaji Mstaafu Edward Anthony Mwesiumo.
Alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, katika nafasi hiyo aliwahi...
Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo.
Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika...
Kinachonisikitisha hivi kwa nini hivi sasa you tube haifai kuangalia na watoto, maana hakuna unachoweza kukiangalia kwa amani, najiuliza hata watoto wetu wanajifunza nini hasa.
Yaani unaweza...
Biashara ya Taxmtandao, yani bolt na uber, farasi na nyingine nyingi zinazidi kukua, lakini naomba kuzungumzia biashara ya BOLT.
Kuna maswali naomba tujadilieane na madereva wa uber hasa wenye...
Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani.
Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa.
Ila ikifika March 8, utashangazwa.
Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya...
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma.
So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine...
Kwenye ulimwengu wa roho sio wote wafao hufa kikwelikweli .....hasa hawa wa vifo vya ajali na ghafla...hivi ni vifo vyenye mikono ya watu.
Ni katika kundi hilo ndio kuna wale wanaochukiwa...
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi...
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi...
Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa...
Kwema wakuu
Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi...
Ni vitu vichache sana navifurahia mkoani mfano unaweza kuamka saa moja kwenda kazini na hali ya hewa nzuri.
Inshort huku mikoani ukiunganisha na majiji mengine ni vijiji vikubwa.
Ni ngumu sana...
November 2024
Peramiho, Songea
https://m.youtube.com/watch?v=LTA_VeAJpuE
Hospitali ya Rufaa ya Misheni ya Mtakatifu Joseph Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma imezindua huduma ya mashine ya...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na...
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha.
Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana...
Siku za hivi karibuni eneo la Mbezi Beach Africana kutokea Tegeta mpaka Mataa ya njia panda ya Kawe kumekuwepo na foleni kubwa ambayo imekuwa kero kwa watumiaji wa 'Bagamoyo Road' hasa wanaoelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.