Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa. Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho. Lakini tija ni ndogo...
5 Reactions
18 Replies
518 Views
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye...
16 Reactions
62 Replies
3K Views
Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba...
10 Reactions
930 Replies
68K Views
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Mosi; kabisa nasikitika kushindwa kugika eneo la tukio sababu sihusiki na sina kibali cha kuniruhusu kufika eneo la tukio. Pili; nimeshindwa kupiga picha yoyote maana nilifukuzwa kama haramia...
22 Reactions
21 Replies
2K Views
Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora...
2 Reactions
3 Replies
573 Views
Hapa Manispaa ya Songea, ni kama viongozi wameweka pesa mbele kuliko kuwajali Wananchi kutokana na mazingira yalivyo. Binafsi sijui wanazingatia nini au vigezo gani kumpa tenda mtu ambaye kazi...
2 Reactions
8 Replies
589 Views
Mwandishi wa habari kutoka PPR Media, Pascal Mayalla ameiomba Serikali kuwapa posho waandishi wa habari pale wanapotekeleza majukumu yao kama ambavyo wabunge hulipwa posho kila wanapohudhuria...
11 Reactions
51 Replies
1K Views
"Afrika ukifanikiwa basi ndugu na jamaa wanadhani kupewa pesa ni haki yao" Osimhen 🎙Victor Osimhen: "Nilikuwa nikituma pesa rafiki yangu mmoja wa utotoni lakini siku moja aliniambia kuhusu...
15 Reactions
17 Replies
732 Views
Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia...
4 Reactions
6 Replies
310 Views
Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna mwamba mmoja miezi kama sita hivi alikufa kifo cha utata, ndugu walimuhisi mkewe kafanya mambo, wakaamua kumsitiri pembeni kabisa ya nyumba yake, bampa tu bamba na ukuta wa nyumba ili mke...
15 Reactions
38 Replies
2K Views
When a building collapses with people inside, the initial response is to make the area safe and assess the situation: Make the area safe: Establish a perimeter around the collapse, keep...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Kwa aliye pita karibuni au wanaoishi maeneo hayo watakubaliana na mimi kuwa majengo haya ni chakavu na yana nyufa na hayajafanyiwa ukarabati muda mrefu siku yakianguka usiku wanafunzi wakiwa...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Bilionea Elon Musk anaendesha makampuni yake 7 Duniani kwa wakati mmoja na makapuni yote yanafanya vizuri Duniani. Elon Musk ni muanzilishi, mkurugenzi na mmiliki wa makampuni 7, SpaceX...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom