KIGOMA
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amesema uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya Tanzania na Burundi ni ishara ya ujirani mwema na undugu kati ya serikali na wananchi...
Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya...
Imagine ni weekend unataka kuondokana na madeni ya tamisemi mintarafu maegesho. Unaingia kwenye mfumo wao na kuanza kupachipa namba za gari zako (za kampuni). Mfumo unakwambia kuna hitilafu na...
Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la...
Kila kona ya nchi watu wanalalamikia mfumo wetu wa elimu. Kama ni elimu ya vitendo hata VETA ipo.
Je, wewe ungepewa nafasi ya kubadilisha mfumo wa elimu ungefanya nini?ungeboresha nini?
Weka...
Kwema,
jamani wanajukwaa huyu waziri aliyetangaza watu wenye vyombo vya moto kutumia Barabara za mwenďokasi kaleta balaa ingawa yeye alimaanisha Barabara zile ambazo hazijaanza kutümika.
Kama...
Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni...
Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri .
Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za...
Oneni hapo[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]mtandao wahovyo duniani ndo huu sasa 450kbps na hapo ni 4G na hapo natumia simu kali kabisa ya kimarekani maana watu hawakawii kusema labda...
Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha...
Kuna watu wameumbwa tofauti na wana mioyo ya huruma. Huyu dada anaitwa Niffer naona amefanya jambo la kiungwana tu na amesukumwa na nia nzuri.
Sema tu shida labda hakuweza kuijua sheria ya mambo...
Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła...
Huu mfumo wa manunuzi serikalini kidigitali (National e-Procurement System of Tanzania) kwa kifupi NEST ni mfumo mzuri ambao utasaidia kupunguza upigaji na kuleta fair play kwenye kutoa tenda za...
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?
Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.
Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.
BAAADHI YA MICHANGO...
Kuna wimbi kubwa la vijana wa wa kutoka vijiji vya Msowelo, Ruhembe, Kidodi, Nyamvisi na Ruaha, kuja kwa wingi mjini Dar es salaam kwa kutafuta maisha kiasi ambacho kwenye ivyo vijiji hakuna tena...
Huyu shekhe anayejiita mwaipopo anafanya waislamu wote tuonekana hatuna akili sasa yule padri wa katoliki anaongea vitu vya ukweli na sahihi halafu yeye anakuja front na kuja kutuambia takataka...
Newton First law of Motion.....
An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!!
kwa...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
1. Zije tipper trucks 10, mizigo yote iliyopo ndani ya jengo na nje ya jengo yote itolewe. Hili zoezi lingeweza fanyika toka jana, ila limezembewa, huwezi fanya...
Taarifa iliyotolewa kwenye kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.