Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza.
Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si...
Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo...
SURA YA AROBAINI NA SITA
DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU
Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali...
Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano.
Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza...
Ni wizi kama wizi mwingine tu
Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k
100000 x 12 = 1.200.000
Makato 12 months ni 1.2 milioni
Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda...
Kwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela, hii inaua connection kwa haraka sana.
Haya mambo sita unabidi kuyazingatia...
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request...
habari wadau.
natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.
mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi...
Huwa najiuliza, sipati jibu.
Jeshi hili si jeshi na wala halina utendaji unaoweza kuitwa ni wa kijeshi.
Wafanyakazi wake ni kama raia waliovishwa magwanda.
Adui wao wa kwanza ni moto, pili si adui...
Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo.
angalia na linganisha floor hizo mbili...
Najua upo Brazil kwenye majukumu yako
Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini.
Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa...
"Changamoto kubwa ni namna jengo lilivyodondoka maana watu wengi wamekamatika chini kwenye basement na jengo lilivyodondoka unaona upande mmoja jengo linaonekana na upande mwingine halionekani...
Habari wakuu,
Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara.
Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo...
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili...
Maana haujui kwa muda wowote litakalo kufika kutokana na hali duni za mikakati na system mbovu zinazokuzunguka.
Pale unapoambulia kitu cha faida hapa Afrika basi ujue wewe ni mwenye bahati kuu.
Ndugu zangu watz, niko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu tukiendelea cha kuomboleza ndugu zetu waliofukiwa na jengo huko Kariakoo. Poleni watu wote mliofiwa, mlionusurika na majeruhi. Kwa...
Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao...
Salaam, Shalom!!
Huu ni unabii Si ubashiri Wala uganga.
Ajaye ni Mwanaume, haijalishi ni anatokea upinzani au tawala.
Haya Si maneno yangu, ni unabii kama alivyoona Nabii husika.
Source: Hero...
Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini
Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.