Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu sana ya kuandika kitabu changu cha taaluma niliyosomea, kuna somo nipo nondo vibaya mno !! Hofu yangu kubwa ilikuwa ni english kwenye mambo ya grammer, articles...
9 Reactions
28 Replies
791 Views
Mitaa mingi Kariakoo majengo mengi yanajengwa hii Ina ashiria nini? Naombeni majibu wale wazee wa kusoma alama za nyakati ndio naowataka.
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status...
0 Reactions
4 Replies
292 Views
Salaam Wakuu, Pamoja na kwanza Mawakili hasa wa kujitegemea na Wananchi wote wanampenda Mwabukusi, lakini Serikali imeshatia Mguu, Mawakili wote wa Serikali wamelipiwa kwenda Dodoma kupiga Kura...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni. Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni...
49 Reactions
691 Replies
16K Views
Siku mbili tatu nimekuwa nikichati na chatgpt na nimekuwa nikimuuliza maswali, kuhusu maelezo mafupi ya muziki wa juice wrld na kupelekea kujikuta nikimuuliza na maisha yake juice world...
1 Reactions
7 Replies
210 Views
Ahlan wa sahlan Naiomba serikali ifunge hizi ofisi uchwara zilizopo hapa maeneo ya shekilango na Urafiki. Mabasi ya mikoani yamekuwa hayaendi tena kupaki stendi ya Magufuli pale Mbezi badala yake...
18 Reactions
173 Replies
18K Views
Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa. Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa...
2 Reactions
4 Replies
336 Views
Hili swala la mtu unaleta hoja au unatoa wazo halafu anatokea binadamu mmoja anaanza kukutukana. Sasa unalazimisha akili zangu ziwe zako!?. Kila mtu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Utangulizi Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo...
5 Reactions
6 Replies
398 Views
Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka...
12 Reactions
87 Replies
5K Views
Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani? Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti! Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
11 Reactions
102 Replies
3K Views
Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi...
1 Reactions
11 Replies
343 Views
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20. Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi 👇 Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Namshukuru Mungu kiukweli nimepata fursa ya kutembelea nchi kadhaa hapa Barani Africa ikiwemo Ethiopia, Rwanda, Kenya, Uganda, Southafrica, Morocco...
20 Reactions
115 Replies
8K Views
TEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION! -1. Kibera, Kenya 🇰🇪: 700,000 -2. Mathare, Kenya 🇰🇪: 500,000 -3. Ajegunle, Nigeria 🇳🇬: 500,000 -4. Shomolu, Nigeria 🇳🇬: 400,000 -5. Khayelitsha...
10 Reactions
93 Replies
4K Views
Years African Countries Started Using Electricity⚡ South Africa 🇿🇦 - 1860 Kenya 🇰🇪 - 1875 Egypt 🇪🇬 - 1893 Nigeria 🇳🇬 - 1896 Zimbabwe 🇿🇼 - 1897 Ethiopia 🇪🇹 - 1898 Mauritius 🇲🇺 - 1899...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom