Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Akiiandika mwenzio ooh upuuzi,utoto,ujinga,huna akili,ukiandika wewe mali,akili,safi sana,material.acheni hizo,jifunzeni kuvumilia na kumezea tu usipopenda alichooandika mwenzio
6 Reactions
19 Replies
455 Views
Watu muhimu katika maisha yako ni wale ambao wameamua kushea maisha na wewe hivyo uwajali sana Unaweza kuishi maisha marefu au mafupi,ila jali sana ujana wako Vitu ni vitu tu,usiwekeze sana sana...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
IPO hivi ,Nina mshikaji wangu flan mwanangu sana , yeye amebahatika kufanya biashara tu yaani Toka ukinga akiwa mdogo sana yeye ni biashara tu . Sasa kilichotokea wanavyodai alizama kishirikina...
6 Reactions
21 Replies
890 Views
Siku mbili nyuma Afghanistan emetangazwa na IMF kwamba imemaliza kulipa madeni yake yote ya kimataifa (international debts) na kujifanya kama nchi kua "debt free" kumbuka Afghanistani imekua...
15 Reactions
47 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema Maambukizi ya Surua yaliongezeka zaidi mwaka 2023 na kuathiri takriban Watu Milioni 10.3 ikiwa ni ongezeko la 20% kulinganisha na mwaka 2022. Pia, Ripoti...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
ELIMU NI UTI WA MGONGO Wanaccm tunapojielimisha kwa hiari zetu Mambo mbalimbali ni wazi tunakuza UWEZO WETU KIFIKRA NA KIMITAZAMO. Pia tunaitendea haki Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 ambamo tuna...
0 Reactions
3 Replies
234 Views
ELIMU CHACHE TULIZO NAZO TUZITUMIE KUWANUFAISHA WENGINE. Wanaccm wenzangu Elimu ya kujua Mambo mbali mbali ni ya Muhimu katika maisha YETU ya kila siku pia na maisha yetu ya baadae TUTAKAPOIAGA...
3 Reactions
2 Replies
220 Views
ZINGATIA HAYA KUMLINDA MWANAO MTANDAONI 1. Mzazi/Mlezi ongea na mtoto kwa kumfundisha kuhusu matumizi sahihi ya kifaa cha kidigitali kama vile simu au kompyuta 2. Mzazi mpatie mtoto miongozo...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Siku hizi katika nchi hii kuna biashara ya kamari holela ambapo kuna watu husimika vimashine vidogo vya kamari katika mitaa ya wananchi. Mara nyingi utavikuta vinashine hivyo katika sehemu zenye...
9 Reactions
18 Replies
525 Views
Kuna jambo moja uwa linanishangaza tunaambiwa Tanzania sio nchi ya kidini Pamoja na kuwa Mimi ni mkatoliki lakini Kuna maswali uwa najiuliza Kwanini jumapili watoto hawaendi shule? Kwanini...
11 Reactions
22 Replies
602 Views
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi...
4 Reactions
83 Replies
2K Views
Anonymous (3d67)
Hii sasa imekuwa kero kubwa kwa wateja wa wanaopata huduma katika Ofisi ya TANESCO Tukuyu. Mwanzo huduma ya kubadili matumizi ya umeme kutoka matumizi makubwa kwenda madogo ilikuwa inatolewa...
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Anonymous (f917)
Hii tabia ya Askari wa Barabarani especially Mkoa wa Dar es Salaam maeneo mengi likiwemo eneo la Kamata Kariakoo, Ilala Boma na maeneo mengineyo, kutafuta vijana machawa wa kukamata Bodaboda ambao...
1 Reactions
9 Replies
693 Views
Wabunge wameitaka Serikali kukokotoa upya bei ya umeme baada ya mradi wa kufua nishati hiyo wa Julius Nyerere (JNHPP) kukamilika ili kumpa nafuu Mtanzania. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo...
2 Reactions
15 Replies
673 Views
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980. Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia...
13 Reactions
98 Replies
5K Views
Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu. Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeelekeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuweka teknolojia za ulinzi ili kuthibiti uhalifu kwenye mradi wa Reli ya SGR...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Nimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari wanaJf, Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi. Pale...
39 Reactions
164 Replies
11K Views
Back
Top Bottom