Kwa muda sasa kumekuwa na shutuma kuhusu hujuma inayohusu treni ya SGR, tukumbuke huko nyuma kuliwahi kutolewa wazo la kuruhusu watu binafsi waweke vichwa na mabehewa yao kwenye huo mradi,
Wazo...
Wakili Peter Madeleka ambaye ni mwanasheria wa Juanna Chifunda amesema uharibifu uliofanyika kwenye fremu za maduka Mikocheni B ni uvamizi na wahusika watawawajibisha kwa mujibu wa sheria na...
Laika, mbwa wa kwanza kufika anga za juu za dunia.
Mbwa huyu ndiye alikuwa kiumbe wa kwanza anayeishi kufika katika nzingo wa dunia, safari hiyo ikifanikishwa na chombo cha anga za juu cha...
Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi...
NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN.
TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication...
Kwema Wakuu !
Jana na leo nimebahatika kupita maeneo ya karibu na vituo vya Zahanati ya Manispaa ya Kinondoni.
Jana nilipita karibu na kutuo cha Zahanati kata Makumbusho na Kituo cha Zahanati...
Tofauti ya Matoleo na Sadaka na Utoaji Wake
Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu neno sadaka. Wapo wanaoita sadaka na wapo wanaotumia neno matoleo. Matoleo ni neno la ujumla, linalomaanisha...
Wakuu, umofia kwenu!
Nimepata kazi kwenye Private - NGO ambayo take home ni 3Mil kwa mwezi. Nataka niache kazi Serikalini ninakolipwa laki 9 (Kabla ya Makato) kwa mwezi. Niko kada ya afya hapa...
Wanamuziki waliofungwa kwa kosa la kubaka watoto na kisha kusamehewa na rais Magufuli, Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha) wamesema wanatarajia kurudi nchini kwao Kongo...
Habari ndugu zangu, namalizia malizia msiba soon nitarejea tena ukumbini tuendelee kuhabarishana na kuelimishana apa na pale🙏🏽
Shukran sana 🙏🏽 Kwa wale wote mlio kua pamoja NAMI katika kipindi...
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)
Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa
Mwenye kujua...
Kwa wakristo angalau watakuwa na kazi nyepesi kuliko waislam katika hili.
Mungu ni Mungu wa binadamu wote. Ili umuelewe vizuri na umfaidi inabidi utoe uarabu na uzungu kwenye Biblia na Quran ndio...
Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani"
Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay!
Kwa...
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?
Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.
Mpaka sasa...
Wilaya ya Kasulu Vijijini, Kata ya Rungwe mpya, Vijana waliopewa jukumu la kufanya survey na wanaofunga Umeme wanatengeneza mazingira ya Rushwa
Nilifanyiwa usajili wa Meter, taarifa zangu...
Kumekuwa na ukiukwaji wa sheria za Mipango Mji katika mji mdogo wa Bomang'ombe Wilaya ya Hai, mkoa wa kilimanjaro.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mazingira wakishirikiana na ofisi ya biashara na...
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa...
naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard
Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo...
hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo...
📖Mhadhara (63)✍️
Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero.
🔘 KERO 1:
Kuna...
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.