Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea kwa kishindo huku akija na staili mpya ya mahubiri. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukimsikiliza vizuri nabii huyu anavyoendesha mafundisho yake ya kichonganishi, hana...
Ukipita kariakoo mitaa mingi majenereta yanawaka umeme mchana haupo usiku wakishafunga maduka ndio unarejea kama sio mchezo huu ni nini
Kariakoo ni moja ya sehem ambayo inayochangia kodi ya Taifa...
Kwa watumiaji wa barabara ya Mlimani City -> Makongo-> Goba na Mbezi shule->Goba. Tunaona ukiukwaji kubwa wa sheria za barabarani wakati wote kitu kinachosabisha adha kubwa kwa watumiaji...
Wana Jf hamjambo???
Hapa Msasani ni siku ya 5 leo taka zimetolewa na Gari halionekani.
Watu wametangaziwa kwamba watoe taka gari linapita jioni kubeba taka, mbaya ni kwamba mpaka Leo zipo na ni...
Mkurugenzi wa Kismaty Advert Media Company Ltd, Bi Mary Mollel, mfanyabiashara kutoka mkoa wa Arusha, amekimbilia Umoja wa Mataifa kuomba msaada kutokana na hofu ya usalama wake na wa familia...
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
Kutoka Mtandao wa X (Twitter)
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na...
YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC
Husika na kichwa cha habari hapo juu
12 Novemba 2024
Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo...
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!
Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala...
Wakuu,
Huko Botswana inaonekana vijana wamezidi kupewa nafasi kwenye masuala ya uongozi.
Lesego Chombo, aliyewahi kuwa Miss Botswana, ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Masuala ya Jinsia na Vijana...
Juzi hapa niliweka thread ikiishauri serikali, hususa Raisi Samia, kutoa tamko ambalo lingezuia mara moja utekaji na uuaji. Kama kawaida ya hii serikali yetu, naona hawajali kuchukua hatua kama...
Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na...
Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie...
"TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA"
Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa...
Dkt. Wilbroad Slaa, Mwanachama na kiongozi mstaafu wa CHADEMA amedai kuna hali ya sintofahamu ndani ya chama chake cha zamani.
Ameamua kusema kuwa CHADEMA inatamka mambo makubwa, lakini vitendo...
Nakiri wazi kuanzia leo nikikuta mwizi anamalizwa takaa niangalie roho yangu iridhike.
Nimeibiwa rim 2 mpya za gari, PS 4 na laptop. Maumivu nayosikia yanafanya niwaze vitu vingi sana huku ni...
Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?
1.Mauritius 2.Botswana 3.Ghana 4.Angola 5.Zambia 6.Namibia 7.Lesotho. 8.Morocco 9.Madagascar 10.Sierra Leonne.
Je...
Ndg zangu katika JF Napenda nianze kwa kuomba msamaha kabla sijakosea ili ikitokea nimekosea basi ndg zangu msiniadhibu kwa maneno makali. Ndugu zangu mimi nimekuwa nikijiuliza maswali...
Nimepitia maeneo na kusikia tunasemwa kuwa sisi watanzania huwa ni waoga sana, mkusanyiko huu ulikuwa unajumuisha watanzania na wengine wa mataifa jirani na kwetu, walichosema ni kwamba ikitokea...
Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada husika, baadhi ama asilimia kubwa ya sisi watanzania tumekuwa waoga sana kwenye nyanja mbalimbali. Napenda kusemea kwenye nyanja ya hawa viongozi wetu, binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.