Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji...
Tuliowahi kupitia jandoni, tohara, mafunzo na changamoto zake tukumbushane enzi zako unakumbuka nini?
Mimi ni mmoja wa vijana tulipotia jandoni nakumbuka enzi hizo Kilimanjaro hususan sisi...
Safari ya Maisha ya Bahati
Katika kijiji kidogo cha Kijiji cha Amani, kulikuwa na msichana mdogo aitwaye Bahati. Bahati alizaliwa na ualbino, hali ambayo ilimfanya awe tofauti na watoto wengine...
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi...
Kufuatia sakata la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo kunusurika kutekwa na watu wasiojulikana, Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole ameutumia ukurasa wake wa X kuukumbusha umma wa Watanzania sheria...
Mimi ni Mkazi wa Arusha, nimekuwa Mdau wa muda mrefu wa platform yetu hii ya JamiiForums kwa muda mrefu, kero yangu mimi ni kuhusu Daladala kukatisha ruti na kuongeza nauli kinyume cha Sheria...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya...
Moderator: naomba Uzi huu sio wa uache uwe huru na ujitegemee wenyewe lengo ni kujifunza
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Kisiasa, kiuchumi, kijamii
Karibuni
Muwe na...
Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu.
Jibu alilojibiwa
Jee hayupo au humjui...
Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za...
Wanabodi
Japo hili ni Jukwaa la Siasa, unapozumgumzia mambo ya fedha, wengi wanadhani fedha ni uchumi tuu, kumbe sio kweli, fedha ni siasa, fedha ni uchumi, fedha ni jamii, fedha ndio kila kitu...
Mabinti wengi sasa wanejiajiri kutingisha makalio TikTok na Instagram huku wakionyesha sehemu za kwa vinguo vyao vya uchiuchi.
Yote hii ni effects of poverty. Umaskini wa kichwani plus umaskini...
Inasikitisha sana!
1. Mtu "anatekwa" Mchana kweupe huku watu wakishangaa mithili ya nyumbu wa Serengeti?
2. Mtu anapiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna hata anayejaribu "kuigiza" kusaidia...
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana...
Wadau hamjamboni nyote?
Chema chajiuza kibaya chajitembeza walinena wahenga
Kwaya ya Kanisa la Waadvetista Wasabato kurasini dar es salaam imejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri mkubwa...
Nashauri serikali iondowe kodi kwenye peds na pampasi na zigawiwe bure kwenye shule zote za serikali na binafsi,pia hata kwa wenye mahitaji maalum.
Kwa mfano kuna kijana wa kiume jirani yangu...
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni.
Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu!
Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami...
Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao.
====================
Baadhi ya wanafunzi...
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.