Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Licha ya hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa katika jamii kukabiliana na vitendo vya uzalilishaji wa kingono kwa Wanawake hususani ubakaji na ulawiti, lakini katika hali ya kusikitisha baadhi ya...
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Habari wana-JF Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu. Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa. Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana RIP...
18 Reactions
152 Replies
4K Views
Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku Mzunguko wa...
7 Reactions
25 Replies
862 Views
Salamu sio Sasa labda badae. Ndugu nasikitika Sana na Sasa nahitaji ushauri maana nipo katika mtanziko wa huzuni na kutia huruma baada ya kunununiwa na rafiki yangu wa hapa kijijini. Ifahamike...
2 Reactions
15 Replies
612 Views
Mimi ni Mkazi wa Arusha - Moshono, Mtaa wa Nanja, huku kwetu kuna tabia ya wizi wa Mita za Maji kiasi kwamba inakuwa changamoto kupata huduma za maji kwa sababu huwezi kujichukulia Mita mtaani...
0 Reactions
15 Replies
838 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao...
5 Reactions
104 Replies
4K Views
Miti hupunguza ongezeko la joto kwenye mzaingila yetu kwahiyo tujitahidi angalau kila nyumba iwe na miti kulingana na ukubwa wa eneo lake Miti hunyonya hewa chafu kwenye mazingila yetu na...
4 Reactions
22 Replies
452 Views
Sababu zinazochangia miti ya matunda ifikie miaka ya kuanza kuzaa na haizai kabisa au kuzaa kidogo 1. Udongo usio na rutuba ya kutosha: Ikiwa udongo hauna virutubisho vya kutosha, mti unaweza...
4 Reactions
8 Replies
602 Views
Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa...
0 Reactions
7 Replies
516 Views
Uchawa ni tabia ya mtu mzima mwenye akili timamu kujipendekeza kwa Kiongozi au kwa mtu mwenye mamlaka katika serikali au taasisi kwa namna isiyo ya kawaida. Kwa lugha rahisi ni kumpa sifa...
7 Reactions
11 Replies
363 Views
Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya...
67 Reactions
282 Replies
17K Views
Wananchi wa mtaa wa Mangua mitoghoo kwa askofu Kata ya Mitunduruni Manispaa ya Singida tumeshangazwa na matokeo ya mgombea wetu. Hakuna hata anayemtaka. Na yeye anajua. Kinachosikitisha kura za...
2 Reactions
6 Replies
285 Views
Familia ya kijana aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari polisi ndani ya chumba cha mahojiano, wamelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo, ili hatua za kisheria...
1 Reactions
9 Replies
533 Views
Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Mara kwa mara, ninapofanya manunuzi madukani au kwa mama ntilie, nimekuwa nikishuhudia jambo linalonitatiza: bidhaa kufungiwa kwenye makaratasi yaliyoandikwa taarifa nyeti kama vile mitihani ya...
0 Reactions
3 Replies
267 Views
Nikiwa kwenye safari yangu ya kurudi katika mihangaiko ya kuusaka ugali, nilipitia tukio ambalo lilinifanya nifikirie sana. Kwenye tiketi yangu, nilipangiwa kiti safu ya 14, lakini nilipokuwa...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta...
15 Reactions
17 Replies
835 Views
BARAZA LA DUNIA Baraza la serikali ya dunia limepangiliwa kwa kufuata umbo la PIRAMIDI , AU PEMBE TATU. Juu kabisa lipo baraza linalojulikana kama COUNCIL OF 13 AU SUPREME OF COUNCIL OF...
0 Reactions
2 Replies
152 Views
Wasalaam, Hakika Mungu wetu ni mwema nyakati zote, niseme tu mimi Mla Bata si miongoni mwa wafia dini yeyote, wala mwenye kuyajua mengi yahusuyo dini hizi mbili za (ukristo & uislamu), lakini ni...
3 Reactions
10 Replies
459 Views
Back
Top Bottom