Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu. Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama...
2 Reactions
0 Replies
209 Views
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya! Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa...
30 Reactions
132 Replies
6K Views
Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere! Mwinyi hata Rais wa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu Myahudi sio...
4 Reactions
6 Replies
286 Views
Anonymous (ac9a)
Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Anonymous (ebe1)
Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya...
1 Reactions
2 Replies
486 Views
Hope mko gud wana-JF wote. Kama heading inavyosema huu mwaka 2023 ni kama umekwisha maana imebakia mwezi mmoja kuingia 2024. Je, wewe ukijifanyia tathimini umefanya nini cha maana ambacho...
27 Reactions
524 Replies
21K Views
Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo. Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne. Nimeiona faida...
35 Reactions
222 Replies
12K Views
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu. Akitoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa . Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ? https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt...
1 Reactions
3 Replies
298 Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa. Kwa sasa wananchi wanapata...
2 Reactions
1 Replies
223 Views
Wakuu, toka juzi najaribu kuangalia namba ya nida kwa kuingiza details husika lakini inaniambia taarifa zimekosewa wakati ziko sahihi. Nilikuwa najaribu kupata namba ya nida ya mdogo wangu. Sasa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu members, mnaweza fikiria chochote kile na mkaandika katika uzi huu. Nahisi hisia tofauti tofauti kama mwanadamu, nimekaa nafikiria hapa maisha ambayo natamani kuyaishi, napenda sana...
2 Reactions
2 Replies
199 Views
Hakuna ubishi kuwa baada ya kukubali au tuseme kuingizwa mkenge na kupokea dini nyemelezi za kigeni, tulipoteza kila kitu. Tulipoteza utambuliko wetu, majina yetu, utu wetu, upendo wetu...
6 Reactions
12 Replies
466 Views
Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama. Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya...
33 Reactions
2K Replies
363K Views
Ilikuwa hivi. Wageni walifika nyumbani kwetu, siku zile nakumbuka ni kama walikuwa wametoka msibani mkoa flani huko. Walipofika home, wakaoga na kisha wakapikiwa na mdada wa kazi na wakakula...
108 Reactions
220 Replies
29K Views
Aman iwe nanyi wana MUNGU Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip...
2 Reactions
8 Replies
618 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa tahadhari kwa umma kutokana na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya moto yanayotokana na uhifadhi wa mafuta ya petroli kwenye vifaa...
3 Reactions
9 Replies
668 Views
Nipo Arusha yapata week ya pili kwa kazi zangu hizi za kuuza Unga wa lishe, nafaka na biashara ya kuleta Vitu huku Namkuta mtoto wa binamu yangu wa kiume kamaliza chuo kwa ngazi ya cheti...
16 Reactions
170 Replies
35K Views
Back
Top Bottom