Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tuache ushabiki, tuache unafiki, tuache uchawa,tuache uchawa ni kipi cha maana au chenye tija ambacho kakifanya rais Samia tokea aingie madarakani? Mimi naona hamna kitu kafanya hakuna jipya...
18 Reactions
51 Replies
1K Views
Mida ya saa 2 nikakatiza nyuma ya stend mpya ya Nyegezi inayomaliziwa kujengwa. Nilipokata kona ya pili nakutana na kundi la wanawake kadhaa wakiwa wameelekeza macho na masikio yao barabarani...
7 Reactions
63 Replies
7K Views
Nipo nawaza!!! Nawaza kuwa muda huu kuna ukumbi mkubwa ambao umejaa watu wa MATAIFA MAKUBWA YALIYOENDELEA. Wameketi kikao, ni kikao cha kujadili MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Nawaza kwamba...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Kijiji cha Ichinono nchini Japani, chenye wakazi chini ya 60, kimefurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili, Kuranosuke Kato mwenye umri wa miaka miwili. Hiki ni mojawapo ya vijiji...
4 Reactions
4 Replies
450 Views
Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na...
2 Reactions
3 Replies
539 Views
Hiyo ni kauli ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliyoitoa siku ya Oktoba 26, 2024 alipokuwa Wilayani Mafia Mkoani Pwani katika ziara ya kikazi ambapo alimpigia simu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Mathayo 5: 28 Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. MY TAKE: Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku...
4 Reactions
41 Replies
757 Views
Imekuwa kawaida kwangu kutapeliwa pesa ninazobadili kuwa vocha, natuma kwenda Vodacom kutoka Tigo lakini upande wa Vodacom hazifiki. Huduma Kwa wateja Tigo wanadai wao wametimiza jukumu Lao kwa...
9 Reactions
30 Replies
895 Views
Kwanza nianze kusema Mimi sio mdau WA kula Sana kwenye migahawa siku hizi. Ila kuna hii tabia naona imeota sugu hapa mjini watu hawajirekebishi. Leo nimesikia njaa vibaya mno nikasema ngoja Nile...
45 Reactions
110 Replies
3K Views
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena. Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo. Nilianza Kusikia Viungo...
36 Reactions
172 Replies
7K Views
Wanasema vijana jitolee ili ionekane vijana wana ajira ila kiukweli hali mbaya kwenye angle ya ajira. Hii ni propaganda. au mbinu za kitapeli ni kama mtego watumishi wakitumia mbinu ya...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
NOSTRADAMUS NA BABA VANGA WATABIRI MAANGAMIZI MWAKA 2025! Watabiri wawili mashuhuri, Nostradamus na Baba Vanga, wametabiri vita vikali barani Ulaya kwa mwaka 2025. Nostradamus alionya kuhusu...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Rushwa ya ngono ni matumizi mbaya ya madaraka ili kujinufaisha kingono visivyohalali au pasipokuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Kwa mujibu sheria ya kuzuia Rushwa na Uhujumi Uchumi...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo. Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko...
12 Reactions
59 Replies
25K Views
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara). Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel...
2 Reactions
3 Replies
244 Views
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia...
0 Reactions
10 Replies
648 Views
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa Kilometa 1. Kapinga ameyasema hayo leo...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
Mimi naanza na Sinza Kijiweni pale kwa Rasi na Tabata Sanene pale kituoni kwenye madereva taxi, vile viosk vyote pale biashara kubwa ni bangi ila wanakuwa wanazuga na kuuza pipi na vitu vidogo...
32 Reactions
382 Replies
85K Views
Back
Top Bottom