Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeshi la Polisi nchini, linawashikilia walimu 4 na mfanyabiashara mmoja, kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency) na matokeo yake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Timu maalumu ya kupambana na makosa ya mtandao kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 wakiwemo raia 04 wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na...
61 Reactions
140 Replies
6K Views
Majuzi bhana, nikaenda kuangalia salio. Kuna kipindi niliweka Tsh 100,000 kwenye akaunti yangu ya CRDB nione kama kuna hela ya kutoa ili nisaidie jambo fulani. Nilichokutana nacho huwezi amini 🙌🙌—...
2 Reactions
4 Replies
418 Views
1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3...
4 Reactions
3 Replies
502 Views
Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi...
1 Reactions
7 Replies
319 Views
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa...
0 Reactions
4 Replies
616 Views
Taaluma ya sheria ni moja ya taaluma zenye hadhi ya juu sana na zenye umuhimu mkubwa sana katika jamii. Sasa hivi kuna hii kamata kamata ya madada poa ambao kiukweli wamezagaa sana mtaani na...
1 Reactions
6 Replies
432 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema hivi karibuni kuwa hakunakitazuia serikali ya mama Samia kufikisha watalii watalii milioni 5 ifikapo mwaka 2025. Soma...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni...
4 Reactions
17 Replies
428 Views
EBigambo Byaba Bingi Muno hahaaaa Masenior wenzangu, Nilikua kwenye pita pita zangu hapa Kaliua Eneo maarufu kama Isawima nikakutana na Malalamiko ya wananchi ambao wanalalamikia wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Siku hizi mnatangaza taarifa ya habari saa 12 asb,sio mbaya,ila msiwape kutangaza taarifa hizo watu wasiosomea kazi ya utangazaji,kwani wanaharibu hizo taarifa ya habari,wanameza mate...
0 Reactions
3 Replies
310 Views
Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile. Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu. Nauliza...
21 Reactions
115 Replies
3K Views
Siku chache zilizopita rafiki yangu alinipigia simu akitaka nimshauri kama abaki dar au aende mkoani. Alikuwa njia panda kwa sababu amepata kazi dar na pia amepata kazi mkoani, kazi zote zina...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea? Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Sababu za kusameheana Msamaha ni Nini Biblia inaposema achilieni nanyi mtaachiliwa (Luka 6:37) ina maana gani Neno msamaha, halina tofauti sana na neno ‘kuachilia’ au ‘kufungulia’. Unapomsamehe...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Nisaidieni kujua Kuna haja ipi ya Mwanamke kuwa namna hii? Ni hamu ya kuwa mwanaume? au anajihisi mwanaume? au Maumbile ya kiume yanamvutia katika namna ambayo nae anatamani kuyamiliki? Mimi...
5 Reactions
80 Replies
2K Views
Back
Top Bottom