Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada...
2 Reactions
23 Replies
654 Views
1 • Unahitaji Pesa Ili Uishi Comfortable. 2 • Watu hawajali matatizo yako. Wanajali vile unavyoweza kuwasaidia wao watatue wakwao. 3 • Kujiajiri na kuanzisha stable business ni kazi ngumu...
15 Reactions
18 Replies
5K Views
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani...
10 Reactions
41 Replies
1K Views
MTU unapata dili ambalo litakupa mil 50 Kwa miaka miwili then unalikataa kisa eti job security!? Yaani Kijana unakimbilia kufanya Kazi kijijini ya ualimu ambayo itakupa mil 7 Kwa mwaka huku...
10 Reactions
15 Replies
673 Views
Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu. Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia...
2 Reactions
25 Replies
615 Views
NA THABIT MADAI, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba, Serikali itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Kijana mmoja ameporwa simu barabrani tena kwenye service road wakati anaongea, bodaboda kaipitia kama kipanga, wakati jamaa anapiga kelele huku anafukuzia akakutana na kijiwe cha bodaboda mbele...
1 Reactions
4 Replies
294 Views
Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu...
10 Reactions
40 Replies
917 Views
Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo...
0 Reactions
4 Replies
210 Views
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha Dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
2 Reactions
7 Replies
300 Views
Wakubwa, kwema? Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki). Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
2 Reactions
9 Replies
494 Views
M Mbunge wa zamani wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Sugu ametoa siri kuwa alifikia hadhi ya kuwa millionea mwaka 1998 kipindi hicho akiimba muziki na baadae akafanya biashara na kufikia...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Kimsingi wamevurugwa. 1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu. 2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali. 3. Mtu aliyeanza kujipata...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama uliwahi kupewa bango na mtu aliyehasirika ujue ni kweli. 😁
14 Reactions
58 Replies
1K Views
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani. Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi. Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa...
3 Reactions
0 Replies
155 Views
Ughonile.. Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo. Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu...
6 Reactions
37 Replies
606 Views
Back
Top Bottom