Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni...
Nimefanya karesearch kangu muda mrefu sana nimegundua wanaume wanene wana mvuto sana wa kiuchumi/kipesa tofauti na wanaume wembamba, Hata Kwenye purukushani za kusaka mafanikio Wanaume wenye...
Watakatifu wa usoni.
Katika giza la unafiki, watu wanajifanya kuwa wema wanavaa ngozi ya kondoo kumbe chui, ustadi na wakati wa majaribu, ni vigumu kutofautisha kati ya wema halisi na wenye hila...
Hawa Warusi sasa naona wameanza kuchanganyikiwa hawafahamu hata wanapigana na nani tena,imekua kawaida yao kutishia kushambulia kila anayeikosoa kwa Silaha zao za Nyuklia na Hypersonic as if...
Ndoto ni ndoto, huwezi kuchagua uote nini na nini uache kama ikimpendeza basi mama aende katika madhabau anayoamini apige magoti ashukuru kwa yote aliyowafanyia wananchi wake, Tukiwa wakweli...
Anaandika Martin masese
MUHUNI kama HKigwangalla mbunge wa Nzega Vijijini. Dkt. Manguruwe alikuwepo bungeni wakati tozo/kodi katika michezo ya kubashiri zinapitishwa.
Mwaka 2012/2015, serikali...
Wasalam wakuu,
Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa
namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama...
Mnada wa mahekalu ya mfanyabiashara Said Lugumi, ambaye kampuni yake inadaiwa kodi na serikali, unatarajia kufanyika kwa mara ya nne baada ya kushindwa kupata wanunuzi katika minada iliyopita...
Wanaume hatuchagui kazi. Heshima kubwa sana kwenu
Ni sitory ndefu nitafupisha.
Mnano mwaka 2019 Baada ya kazi za hapa na pale hasa kazi yangu pendwa ya kilimo Cha umwagiliaji (bustani) kukumbwa...
Huyu jamaa makala zake huwa nazipenda sana. Kwanza jamaa hafungamani na upande wowote, yeye ni mzee wa kushusha nondo tu!
Nimeanza kufuatilia makala zake tangu enzi hizo yupo Rai ya ukweli hadi...
Habari zenu wasaka tonge.
Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili.
Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja?
Yehova vs Allah = 1 ?
Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani.
Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k
Sasa...
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya...
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba...
Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu...
Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni...
Kuamini ushuhuda wa baadhi ya wachungaji kuna hitajika kua na roho ngumu sana, unaweza ukadhani ni uongo, sikiliza huyu mtumishi wa Mungu, anapo bebwa kila mara kukutana na Yesu.
Kwa nini vijana wadogo wakitoka kimahusiano na wamama watu wazima(mishangazi) au hata wakioana nao kabisa inachukuliwa kama wanalelewa na maneneo yanakuwa mengi sana wakati mabinti wadogo wakitoka...
Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia
Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana
Wenye mamlaka litizameni hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.