Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wavunjifu namba MOJA wa sheria za barabarani ni madereva wa serikali wanapokuwq na magari ya serikali. wana overtake popote Hawajali speed limit Hawaheshimu sheria nyingi za barabarani Hapa...
9 Reactions
23 Replies
511 Views
Leo kabinti kangu ka darasa la pili kamerudi kutoka shule. Akaniambia kwamba mwalimu amesema tumrekodi video akiwa anasimulia story kwa kiingereza halafu mwalimu atumiwe hiyo video. Akikosea...
17 Reactions
51 Replies
1K Views
Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu. Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa...
2 Reactions
16 Replies
635 Views
Hii tetesi itazaa taharuki kubwa sana, kwa vyanzo vya uhakika vitakapo sema ndio itakuwa taarifa rasmi. Iko hivi 👇 Ndizi Mbichi zikiwasili DSM zikiwa mikononi mwa wawekezaji wa biashara hio...
20 Reactions
126 Replies
5K Views
Kila Dakika system ina unatuma Sms Ya Uchaguzi Imekua kero. Mbona kama Hamjiamini Mshasema Watu Wame elewa. Wanaotaka watakuja na wasiotaka mtaona kimya wanaendelea na shughuli zao. Note...
4 Reactions
11 Replies
337 Views
Mimi Bibi Yenu, licha ya kuwa pensioner lakini najihangaisha kwa KAZI za mikono na talanta alizonipa Maanani. Bidhaa zangu nauzia mtanfaoni, hivyo huwa nabahatika kukutana na vimbwanga vya huko...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Haji amesema kuwa mtazamo wa kudhani kwamba Jeshi la Polisi linakandamiza baadhi ya vyama vya siasa sio wakweli. "Wakati...
0 Reactions
8 Replies
623 Views
Kama umewahi kujiuliza ukifa unaenda wapi au inakuaje, hili ni swali ambalo linakosa majibu rasmi lakini wanasayansi wamejaribu kulifuatilia kwa ukaribu na kulifanyia utafiti kwa miaka mingi...
3 Reactions
3 Replies
325 Views
Habari wakuu, samahani mimi kuna hali fulani hivi hunitokea, 1. Ninaweza kuwa nawaza kumpigia mtu fulani kwakuwa sijaongea nae mda mrefu basi nikisema labda mda huu namtafuta aisee dakika 6...
4 Reactions
29 Replies
924 Views
Nakumbuka kipindi tupo wadogo tukiulizwa tunataka kuwa nani tukiwa wakubwa tulikua tunajibu dokta, rubani, dereva, mwalimu, rais n.k, tukiamini izo ni field zenye heshima. Bahati mbaya facebook...
26 Reactions
58 Replies
2K Views
80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Kila kitu kina siri hapa duniani. Mwaka 2017 wakati nipo mkoani nilipata kusoma kitabu kinaitwa secret of mind. Baada ya kusoma hiki kitabu nilijifunza mambo matatu ambayo yanamfanya MTU kuwa...
14 Reactions
14 Replies
853 Views
Kadiri ya imani ya kanisa katoliki, Mtakatifu Josephine Bakita ni mmoja wa watakatifu maarufu katika Kanisa Katoliki, mzaliwa wa Sudani Kusini. Alizaliwa mwaka 1869 na aliishi maisha ya kutisha ya...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa...
6 Reactions
26 Replies
882 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 17, 2024 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Huduma na Jumuiya za Mijini kutoka nchini...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Ndg. Niliye Mdogo Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumban, kama kawaida yangu nilikuwa nimelewa chakar, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni baada ya kumtukana mke wangu na...
21 Reactions
28 Replies
3K Views
Japo nahis nakua kama kituko hivi, ila hua nahesabu kila napoenda nahisi mashine inaweza wrong hivi.
2 Reactions
7 Replies
307 Views
vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa huku kwetu tukipigana...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Habari za mchana huu. Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.
8 Reactions
19 Replies
782 Views
Mada aborted. Reason: self cencorship na imekosa viwango
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Back
Top Bottom