Kununua bidhaa online au Kutoa pesa Kwa Kadi ya ATM Equity utajuta kuwajua nilitoa pesa kwa visa Sydney, Australia naona makato yamekuja 110,000 TSH.
NB: Eeh ndugu usijaribu kutumia Kadi pendwa...
Kwema?
Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukua hewani.
Ukipiga simu hazitoki, ukituma sms haziendi na Data haifanyi kazi.
Hii sii mara ya kwanza kwani Sept 28...
Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU.
Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale...
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla...
Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya...
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya...
Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania...
Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km...
Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza...
Mwanzo nilikuwa muumini mkubwa wa hawa wa kuitwa motivational speakers ilikuwa haipiti siku sijasikiliza mausia yao kuhusu maisha hasa hasa mbinu za kupata utajiri na kufikia malengo maishani...
Ni lini Waafrica tutajitambua na kujipambania tuache kutukanwa na kudharilishwa kiasi hichi?
---
Bilionea maarufu duniani kutokea nchini Marekani Bill Gates anaeleza namna ambavyo mazao...
Wafanyakazi wanne wa taasisi ya mikopo ya OYA wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia ya Juma Said Seif (45), mkaazi wa Kitongoji cha Mbagala Mlandizi...
Salaam,
Naulizia kuhusu hili kundi la watu laki kadhaa ambao watakuwa vyuoni mwezi na tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Wengi wamejiandikisha kwenye vituo vilivyopo majumbani kwao ambapo...
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni kijana Me 26 nimekulia maisha yenye furaha sana mpaka nilipofikia umri wa miaka 24 na kugundua mwili wangu haupo sawa. Yani nasumbuliwa na kiumbe aitwa...
Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
Tunatakiwa kutenda mema, siyo ili matendo mema yatupeleke mbinguni, hapana!, tunatenda mema ili kuthibitisha uwepo wa neema na kumtukuza Baba yetu wa mbinguni.
Waefeso 2:8-9, Mathayo 5:16
Hakuna...
Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.