Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sababu inayomfanya mtu yeyote asifanikiwe ni kushikwa na kuonewa na Ibilisi. Unaweza kukamatwa haswa na Mr. Shetani huku ukiwa muumini mzuri wa Imani, sometimes unaweza kuwa kiongozi wa dini na...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Elimu ni Ufunguo wa Maisha. Mtu Mwenye Elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na Elimu. Ni Ujinga na Ubwege wa kiwango cha PhD pale Msomi anapoamua kuikataa Elimu aliyo nayo na kuamuwa kuwa...
3 Reactions
3 Replies
197 Views
Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini huadhimishwa Oktoba 15 kila mwaka ikilenga kutambua jukumu na mchango muhimu wa Wanawake wa Vijijini katika kuimarisha Maendeleo ya Kilimo, Kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Kuna wengine kazi zetu zinanoga pale tunapoenda kufanya activities huko site baada ya ku explore data au ku visit site basi tukirudi ofisini hakuna cha maana desk work ni moja tu computation na...
1 Reactions
17 Replies
380 Views
Precision Air wawajibike kwa kuwachelewesha abiria 'airport' bila maelezo yanayoeleweka, "tumekaa zaidi ya masaa matatu" Abiria ambao tulikuwa na tiketi za kusafiri na ndege ya Precision Air...
1 Reactions
5 Replies
388 Views
Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe...
3 Reactions
7 Replies
386 Views
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha...
1 Reactions
2 Replies
459 Views
YAJUE MACHACHE KUHUSU NCHI YA BRUNEI 1) Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni....nazo ni LIBYA na BRUNEI 2) Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake...
17 Reactions
41 Replies
3K Views
Unajua kwanini ulimwenguni kote watu huziona serikali zao kama zinazingua jibu ni kwa sababu hazitekelezi yale iliyoahidi. Kutamka ahadi huwa rahisi sana nyingine huwa ni ndogo mpaka unahisi...
1 Reactions
0 Replies
98 Views
Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi...
3 Reactions
17 Replies
770 Views
Inaonekana kuwa kwenye Misa Takatifu huko kwenye Parokia ya Matosa, waume wamelazimishwa na Padri kuwaomba msamaha wake zao kwa namna ya 'udhalilishaji'. Nasema wamelazimishwa, kwani sidhani kama...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
VODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya...
4 Reactions
20 Replies
709 Views
Website ya BOT haipo hewani, shida inaweza kuwa nini? Kama Kuna njia mbadala ya kuwapata nipatiwe nina shida nao.
1 Reactions
4 Replies
209 Views
Habari za asubuhi wakuuu. Inawezekana nikaonekana kama ni jambo la ajabu kwa wakati huu lakini Hadi kufikia umri huu nimeshashuhudia wanaume wengi responsible wakitelekezwa na familia au watu...
58 Reactions
133 Replies
4K Views
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu...
25 Reactions
115 Replies
3K Views
Asee Wana JF hali gani huko? kazi iendelee na pia people's powers, Tuingie kwenye mada! Unajipambania zako na kuweka malengo Kila siku, Kila mwezi, Aidha miezi, mwaka au miaka kwamba utakua...
3 Reactions
13 Replies
444 Views
Jana nilikula chipsi aisee njaa imenitafuna sasa nakula ugali na dagaa, majirani sijui watanionaje!
12 Reactions
63 Replies
1K Views
Wakuu mpo Salama! Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika. Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika...
50 Reactions
179 Replies
11K Views
Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa...
3 Reactions
8 Replies
320 Views
Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili...
0 Reactions
5 Replies
335 Views
Back
Top Bottom