Mara nyingi huwa najiuliza kama hawa makamanda wa jeshi la polisi ni wasemaji wa jeshi la polisi pia yaani katika mafunzo yao wamefundishwa kuwa wasemaji na watoa taarifa za jeshi lao kwa vyombo...
http://www.dar411.com/2009/images/uploads/img240x250
IGP MWEMA ATEUA KAMANDA MPYA
KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM JUMANNE MACHI 09...
Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19...
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako...
Nina jamaa yangu, kwa siku za hivi karibuni amekuwa busy sana kutafuta hizi sarafu. Jamaa yangu yupo full committed kiasi kwamba anaweza kupotea town hata wiki kadhaa na siku akionekana anasema...
"Wakuu habari.
Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Habari viongozi,
Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma...
Maisha ni foleni na siku zinasogea pole pole Muamini MUNGU ipo siku utafanikiwa
Ata kama sio Leo "NDUGU" yangu Ila amini ipo siku utafanikiwa
Mungu wetu halali wala hasinzii "anasikia maombi...
Fikiria kuhusu hilo jibu alilomjibu mfuasi wake kwa mujibu wa maandiko;
Ni vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbingu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano."
Jawabu jingine...
Wakuu nawasalimu na kuwatakia kila jema.
Naomba kuuliza maana kipindi hicho nilikua kijijini huko sikuwa na uwezo wa kufuatilia shuguli ya maziko ya baba wa taifa kutokakana na ukosefu wa vyombo...
Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar...
Nimepita Mbagala wiki hii nikielekea kwenye Shamba langu Mkuranga, Hakika Mbagala ni Nchi nyingine kabisa, Utaratibu wao wa kuishi ni tofauti kabisa na Utaratibu wa Tanzania.
Wamachinga wamepanga...
Habari za saa hizi Makada wa CCM.
Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la...
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa...
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza.
Ila kwa huyu hapana aisee.
Ni mvivu.
Hasomi files,
Hukumu zake zinarudia yale yale yaliokwisha amuliwa na mahakama za chini.
Kwa uchache tu, ni kuwa ana uwezo...
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu
Kama ilivyo desturi ya mwanadamu ya kufuga wanyama pendwa kama vile paka,mbwa na ndege kama kasuku
Siku za nyuma nilikutana na tukio la ajabu...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty.
Nina wazo/idea kubwa sana ya kipindi cha Television kwa...
Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri...
Leo tunatambua huko Arusha kuna jambo kubwa ambalo limeandaliwa na Serikali ya Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambalo ni LandRoverFestival2024 .
Sasa hapa jitazamie mwenyewe namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.