Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
UTAFANYAJE MKEO AU MUMEO AU MZAZI WAKO AKIWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA? Hivi ÑDIVYO UTAKAVYOFAÑYA. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli. Mtu yeyote ambaye haamini nguvu za Mungu huyo ni mshirikina...
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui...
1 Reactions
3 Replies
310 Views
Ukikutana na Contents ambazo hazieleweki Fanya hivi Angalia huyo anayeandika amejiunga lini JF ukikuta ni 2020-2024 usiangaike kumjibu Hao ni vijana wa Facebook Hapa JF kuna I'd moja ya mkongwe...
5 Reactions
15 Replies
363 Views
Wateja wa Benki ya CRDB ambayo ndiyo mkopeshaji mkubwa wa Tanzania kwa mali na amana, wamepokea barua pepe za udanganyifu kutoka kwa matapeli wanaojifanya ni benki hiyo. Katika shambulio hilo la...
2 Reactions
5 Replies
324 Views
Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto...
1 Reactions
2 Replies
405 Views
Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Kama unalipa malipo ya serikali kwa leo, ni bora utumie bank kuliko mobile money, ukilipa unakatwa na malipo yako hayafiki taasisi inayo husika.
4 Reactions
14 Replies
520 Views
Ni matumaini yangu kuwa kutakuwa pia na wahusika wa jambo hili huku jamii forum ili lichukuliwe hatua haraka sana kabla ya madhara kutokea Hapo Mbezi stand kuna Magari ambayo hayajasajili ndio...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Natuma kwa niaba ya ndugu yangu Mimi mkazi wa Ponde kata ya Toangoma wilaya ya Temeke, naomba kutoa malalamiko kwa viongozi wetu kuna Bilionea muhindi anaitwa KURBAN AHMED KHAKI, anatunyang’anya...
5 Reactions
20 Replies
909 Views
Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
0 Reactions
3 Replies
471 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Anonymous (e202)
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar. Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi...
0 Reactions
2 Replies
191 Views
Ni kawaida kwamba katika nchi nyingi matajiri wakubwa utakuta ni wafanya biashara, lakini sio Tanzania. Kwa sasa wanaoongoza kwa kuwa matajiri wakubwa Tanzania ni wanasiasa waliopo madarakani au...
32 Reactions
142 Replies
9K Views
"KISANDUKU CHEUSI" KATIKA NDEGE NI HIKI (Cheusi, Ama Chekundu) Ni kawaida kila inapotokea ajali ya ndege ya abiria, umma hutangaziwa kuwa kinatafutwa Kisanduku Cheusi; je, hicho ni nini? Hakika...
80 Reactions
200 Replies
32K Views
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na...
41 Reactions
234 Replies
12K Views
Leo tarehe 11/10/2024 ikiwa ni siku pekee ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu Duniani yanayofanyikia katika Wilaya ya Bukombe yakibebwa na kauli mbiu " WALIMU NI NYOTA INAYOANGAZA" yameanza muda huu...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Hii inasikitisha sana. Labda tuwasikilize wazee wa kataa ndoa dronedrake na Liverpool VPN wanaweza wakawa na maoni tofauti. -- Mke wa Mfanyabiashara na Mkazi wa Mbagala Mlandizi Wilayani Kibaha...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Leo tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, tukumbuke kwamba bado wasichana wengi ni wahanga wa ukatili wa kijinsia. Swali la kujiuliza ni hili: Je, tunawajali na kuwalinda mabinti wa wenzao kama...
1 Reactions
2 Replies
360 Views
Back
Top Bottom