Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Utu ni jambo muhimu sana kwenye huu uumbaji wa Mwenyezi Mungu Kampuni ya mikopo midogomidogo ya OYA si kampuni rafiki na yenye UTU kwa wakopaji wake. Pamoja na kuwa na vibali halali vya kuendesha...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa...
6 Reactions
50 Replies
968 Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo Tarehe 10/10/2024 ameunga mkono jitihada za Wazazi na Wananchi katika Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu shule ya Sekondari ya Wavulana...
0 Reactions
5 Replies
286 Views
Ukingia kwenye mapenzi deep na mke wako jitahidi kuingia na moyo wako pamoja na akili zako ukiingia na moyo bila akili you end up in tears, stressed en desperate. Huyu jamaa wetu baada ya...
42 Reactions
131 Replies
5K Views
Habari za muda huu wanajukwaa? Ipo hivi niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mshichana mmoja anayetokea ukanda wa kaskazini, msichana huyo pia alikuwa akisoma chuo kimojawapo huko Arusha. Sasa...
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k. Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70 Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Rapa na Mfanyabiashara Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kuwasilishwa mbele ya jaji Arun Subramanian katika mahakama ya Manhattan, Alhamisi hii majira ya mchana, akitokea gereza la Brooklyn. Hii...
2 Reactions
19 Replies
910 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule. Pia Soma: - Shule ya Msingi Tumaini ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Najua wapo baadhi ya watu husema si busara sana kuzungumzia mambo yako mtandaoni. Binafsi nimetafakari nikajiuliza kipi bora, kukaa kimya huku naumia na mwishowe niugue magonjwa ya akili au...
47 Reactions
206 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kaloleni kilichopo Kata ya Janga, Ahmed Kilindo amesema kampuni ya OYA Microcredit imetoa mchango wa shilingi milioni moja (Tsh.1,000,000/=) kwa familia ya Juma Said...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache...
4 Reactions
14 Replies
397 Views
Kama umewahi kufika Dodoma utakubaliana na mm kuwa kuna kero ya nzi wengi sana kila sehemu hasa wanaouza vyakula na kwenye msongamano wa watu, nzi ni mdudu mchafu sana Pia soma: Kwanini maeneo...
1 Reactions
11 Replies
351 Views
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Bagara aliyepotea katika mlima wa Kwaraa baada ya kwenda kufanya utalii wa ndani pamoja na masomo Kwa vitendo, Mwanafunzi huyo amepatikana...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wairaq na wambulu wote ni ndugu! Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe...
0 Reactions
3 Replies
277 Views
Mtangazaji wa kipindi cha Goodmoring cha Wasafi FM Gerald Hando ametaka au kushauri mtandao wa TikTok Tanzania ufungiwe akidai unaleta matatizo ya afya ya akili kwa vijana wengi zaidi. Amesema...
1 Reactions
14 Replies
651 Views
Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani...
1 Reactions
7 Replies
283 Views
Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka...
12 Reactions
113 Replies
3K Views
Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye...
1 Reactions
2 Replies
365 Views
Back
Top Bottom